Nembo ya WHO ni tatanishi?

Nembo ya WHO ni tatanishi?

kaangalie na hospitali kule moshi pia ipo na karibu kufanana
Kuwepo hospitali sio hoja.

Ndio madhara ya kuiga iga tusiyoyajua.

Hao walioweka hiyo nyoka sipitali wanajua maana yake halisi?
 
Hii kitu ipo hata kwenye Bible.

Wana wa israel wakati wanatoka Misri kwenda kaanan walimuasi Mungu wakaanza kuumwa na kufa baadae Musa akaelekezwa kumtengeneza Nyoka wa shaba na kumuweka juu, kila aliyemtaza alipona.

Mimi huwa nafikiri tafsiri yake ndio hiyo

Emaphakadeni
Kuna utofauti kati ya uponyaji na utabibu.

Nyoka wa biblia aliashiria uponyaji wa miujiza.

WHO sio taasisi ya miujiza. Ni taasisi ya kitabibu.

Kwanini nyoka!?
 
Wanyama wamekuww wakitumika kama nembo taasisi nyingi tu, ni nembo tu mbona ligi kuu ya England nembo take Ina Simba?
Nembo ya Ikulu ya Marekani Ina Alana ya Tai n.k
Hizo alama sio za bahati mbaya.

Wakati mwingine ni spiritual symbols.
 
Suala ni alama ya hizo hospitali. Ni ushauri tu nilitoa, usipoupenda achana nao.
Hao wanaoweka hizo alama mahospitalini wanajua maana zake au wanapachika tu ilimradi?

Wazee wa kukopi na kupesti. Wakiona kitu na wao wanabandika tu.
 
Wale "wajuzi" wa mambo, hii alama ya nyoka kwenye nembo ya shirika la afya duniani ina maanisha nini?

Nafikiri alama zozote zina maana yake. Haiwekwi kwa bahati mbaya.

Naona pia alama ya nyoka kwenye noti ya shilingi mia tano ya Tanzania! Sifahamu kama nyoka wa kwenye mia tano ya Tanzania ana maana sawasawa na nyoka wa kwenye nembo ya WHO?

Huyu nyoka anaamanisha nini kwenye nembo ya WHO? View attachment 1441720

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana sumu,pia ana jua dawa za kujitibu
 
Zamani Ugiriki ndiyo ilisifika kwa tiba, wenye wagonjwa walipeleka huko na tiba ilihusishwa na nyoka. Mgonjwa aliwekwa kwenye chumba chenye nyoka na walimtembelea usikumzima bila kumdhuru na asubuhi ugonjwa unakua umetoweka.
 
Walio ibuni hii alama,wanaamini kuhusu uwepo wa Mungu na Miujiza yake(WHO),kinyume na hapo Basi ,watakuwa ni walozi.
 
Back
Top Bottom