Nelly na matunuzi ya kufa mtu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
moneybag22.jpg
nelly-and-trey-songz.jpg
treynellyjd.jpg
 
Jamaa wanajidhalilisha sana kwa maisha yao ya kipuuzi. Utashangaa jamaa anatoka katika jamii ya watu maskini badala ya kuwasaidia katika kuchangia jamii kielimu na mambo mengine jitu linachezea pesa ambayo tena kodi yake inakuwa kubwa baadae anafulia. Pamoja na kwamba pesa ile umeitolea jasho lakini mimi naona sio kabisa. Na hawa wanaojiita Maceleb wa huku kwetu wakiona wanaiga. Basi inakuwa upuuzi mtupu.
 
Aaah wapi...
ni umaskini wa mawazo ndo unawafanya wafanye huo upuuzi..
baada ya muda wanaanza mizinga..
 
ni another justification ya upeo wa fikra zetu!!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Wazungu wanasema utajiri wa MWAFRIKA ni WANAWAKE- yaani hapo lazima ana wanawake lukuki. Wenzetu pesa wana invest sisi utakuta jamaa home kwake ana fleet ya magari kama saba hivi, yote yale ya bei mbaya, km Ferrari. sasa pesa yote hiyo ya hayo magari saba ange invest angekuwa na turn over kubwa tu ya pesa kwa mwaka. Waswahili tubadilike JAMANI!!!!
 
hapa alikuwa katika mtoko wa kawaida, au alikuwa anapiga picha? Kuna haja ya mtu kweli kutembea na bulky cash nyingi hivyo? Kwa maatumizi gani!
 
Msiwe watu wa kuja jamani.

Hizo huwa ni dola moja moja au pesa bandia.

Huwa wanakuwa nazo nyingi ili kuwarushia malaya.

Unafikiri zingelikuwa pesa kweli wangelizikanyanga?

Yaani watu waikanyage Dola 100$? Wangelibebwa juu juu na hao malaya.
 
Jamaa wanajidhalilisha sana kwa maisha yao ya kipuuzi. Utashangaa jamaa anatoka katika jamii ya watu maskini badala ya kuwasaidia katika kuchangia jamii kielimu na mambo mengine jitu linachezea pesa ambayo tena kodi yake inakuwa kubwa baadae anafulia. Pamoja na kwamba pesa ile umeitolea jasho lakini mimi naona sio kabisa. Na hawa wanaojiita Maceleb wa huku kwetu wakiona wanaiga. Basi inakuwa upuuzi mtupu.

Hahaha yaani unachekesha kweli wewe.....tatizo la maoni yako umeyaelekeza sana kwa mtizamo wa maisha ya kibongo na kuona kwamba jamaa wanafuja mipesa....mkuu hayo ni matumizi ya kawaida kabisa kwa wenzako walio karne ya 21......kwa macelebrity wakubwa kama yeye kutumia dollar hamsini elfu au laki moja kwenye party wala hata sio issue kabisa............Kumbuka life la sasa la bongo wenzako waliishi babu za babu zao karne za 15,16.......so wakikusikia watakushangaa na kukuonea huruma tu......Umasikini kwao ni historia.....Elimu kwao ni basic need ya kila mtu wala hata haiitaji mtoto aende na dawati anapoanza shule........Dunia ni kubwa sana na inatofautina sana mkuu....
 
Back
Top Bottom