Mwanaume kufa uume ukiwa umesimama na mwanamke kusex na mfu!

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,993
17,893
Mwanaume kufa uume ukiwa umesimama na mwanamke kusex na mfu.

Kuna huu utamaduni kufa uume ukiwa umesimama na kwa tamaduni fulani inasemekana hawezi kuzikwa hadi mkewe (mjane) asex naye ili uume upate kulala

Haya mambo ni ya kweli?Nimeskia hizi habari nikashangaa sana.
 
Hamna kitu kama hicho...haingii akilini..mtu akifa ndio basi mwili unabaki kama mgomba tu.
 
Wagonjwa waliofariki kupitia mikononi mwangu wengi walikufa na hali hiyo lakini sina hata mmoja wa wanafamilia aliyesema maneno haya wala kujaribu kunielekeza hilo .

Note : nimezunguka sehemu nyingi hapa Tanganyika na wengi wamefariki nawaona.
 
Back
Top Bottom