Nehemia Mchechu ni kiongozi mwenye maono

Acha uongo hizo project za NHC alizofanya za maana ni zipi?,kujenga majengo ambayo badaye wapangaji wanakosa?
Kujenga nyumba za gharama badaye kuziuza kwa mamilioni ya pesa?

Msechu aliwekwa NHC na Kikwete kusaidia kupitisha fedha za umma-usilolijua ni usiku wa Giza bora Magufuli alimtoa.
Haswaa, nyumba ni za gharama, hazina "value for money" maeneo mengi nyumba zilizokamilika hazina watu, na zenye watu zimenunuliwa na wapigaji, na nyingine ujenzi umesimama.
 
Marekani wana mwadeni kuliko nchi yoyte duniani
OVER
Huko ni kujipa moyo tu!!yaani madeni ya USA,ulinganishe na ya NHC?!!au na na TZ?!!Yeye ni pesa ngapi anatoa kwa ajiri ya misaada duniani kote,ndio mtoaji mkubwa wa misaada,iwe kupitia mashirika yake au ile misaada ya dharura!!na wewe je kuna misaada gani unayoitoa.Mchangiaji mkuu wa mashirika yote UN,ni yeye!!
Eti hata USA ana daiwa!akiacha kutoa hizo pesa zote anazozitoa kama misaada,hilo deni litakuwepo?!jaribu kutumia akili.
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Mh Rais amepatia sana ,ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nn kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu,vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius .Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa.ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu ,building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa,

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina ,Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge ,Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake.amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness ,creative leadership,and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu
Hata yule Jamaa wa AICC ila Sasa siasa za kijinga za bongo Huwa haziwapi nafasi watu makini ila majinga majinga yanayojipendeleza nk.

Walau Rais Samia amejaribu kuwapa nafasi Hawa..

Msikilize hata Bashe hapa chini japo Mimi Nina shida Moja kwa nini Wataalamu wasiongoze mageuzi na wakubwa walete muongozo wa kisera tuu? Sasa unaajiri Wataalamu wa kazi gani kama hawana Msaada?

Chawa kazini
 
Well said ,wataalamu wangepewa uhuru wa kutekeleza majukumu yao kitaalamu Kama watendaji wakuu ili kuongeza ufanisi zaid
 
Nimesoma uzi mzima ila sijaona jambo au mambo gani hasa ambayo yamewahi kuboreka kutokana na utendaji wake.
Itoshe kusema huu uzi ni wa kichawa zaidi.
Nimewaza kama chawa wa Mchechu akili yake ndo hii basi Hazina yetu haina mtu sahihi. Huyu mleta Mada Mchechu ndo kaona ana unafuu mwenye kuweza kumsemea kupitia media. Aiseee?!
 
Mwizi mzoefu aliyerudi kuendelea kuiba sambamba na wezi wengine waliorudi kwa nguvu kubwa!

Tuambieni legacy yoyote aliyoiweka katika nchi hii zaidi ya kuja na rekodi za wizi tupu!
 
Nehemia ametoka sekta binafsi. Sekta binafsi haikaei na watu mizigo.

Kama tunataka mashirika ya umma yawe na ufanisi, ni vema wakurugenzi wote watoke sekta binafsi, hata kama ni kutoka kwenye makampuni ya nje ya nchi, kama hatuna watu nchini wenye vigezo vinavyohitajika.

Hiyo ndiyo mbinu iliyotumika hata kwa mashirika kama Emirates Airline. Kwa miaka kadhaa Emirates Airline iliongozwa na wabobezi wa biashara za usafiri wa anga toka Ulaya. Na shirika likakua kwa kasi.

Sisi kwa bahati mbaya sana, na kwa ujinga wetu, ukada wa CCM tumeufanya kama sehemu ya sifa katika mambo yanayohitaji ujuzi.

Who helped Emirates Airline?

Sir Maurice Flanagan

Sir Maurice Flanagan, who died last week aged 86, moved to Dubai in 1978 and set about building one of the biggest airlines in the world and making the emirate a global aviation hub. Sir Maurice Flanagan took an airline with one leased aircraft and then let it fly to become a part of the UAE's world travel revolution

LONDON // When Emirates Airline was launched three decades ago with a leased aircraft, Maurice Flanagan could hardly have imagined the company would become one of the world’s largest and most popular carriers.

Sir Maurice Flanagan, as he became, was perhaps the key expatriate involved in growing the Dubai airline into a global behemoth with more than 230 aircraft, including the world’s largest fleet of Airbus A380 superjumbos.
 
Well said,Mr Nehemia anatoka secta binafs akiwa na uzoefu mkubwa kwa kusimamia mashirika na taasisi za kifedha
 
Nimesoma uzi mzima ila sijaona jambo au mambo gani hasa ambayo yamewahi kuboreka kutokana na utendaji wake.
Itoshe kusema huu uzi ni wa kichawa zaidi.
Jamaa hana lolote. Utasikia sifa zake, ukiuliza kafanya nini hutapata jibu!
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Mh Rais amepatia sana ,ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nn kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu,vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius .Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa.ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu ,building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa,

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina ,Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge ,Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake.amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness ,creative leadership,and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu
Huu ni uzi wa pambio tupu.
 
Hizo taasisi wanaoteuliwa kuwa Wenyeviti ni makada wastaafu serikalini na Chama na Wajumbe huwa ni marafiki au machawa wa Waziri wa sekta husika.
Sasa yeye Mchechu atabadilisha nini zaidi ya yeye naye kujipatia Mkate wake!
Bila kuteua watu wenye Professional zao kuendesha mashirika,mnateua makada wa CCM,sasa huo uwezo wa mashirika kujiendesha kwa faida utatoka wapi!
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Mh Rais amepatia sana ,ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nn kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu,vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius .Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa.ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu ,building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa,

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina ,Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge ,Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake.amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness ,creative leadership,and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu
Duuuu na ile miradi ya ujenzi wa nyumba ulioshindwa kuleta matokeo chanya
 
Back
Top Bottom