Nehemia Mchechu ni kiongozi mwenye maono

Akifanya SIDO na VETA na NDC kujiendesha na kuifanya TTCL iliyouliwa na mkwe wa Mama ndio nitajua akili ya NEHEMIA sio ya kawaida.
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Rais amepatia sana, ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nini kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu, vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius.

Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa. Ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa.

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu, building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa.

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina, Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge, Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake. Amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness, creative leadership, and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu.
Bro, Nehemiah Mcheshu shikamoo pole na majukumu yako ya hapo hazina
 
Anasuka taasisi, aliikuta NHC haieleweki, akaisuka. Nadhani ndio mara ya kwanza kuona katika tv mkutano wa msajili wa hazina na wadau wake.

Ajaribu kuifahamisha jamii zaidi kuhusu Ofisi hii. Mama ampe wataalamu na fedha wayafanyie uchambuzi wa kina mashirika na kuyaonyesha njia.

Wajigawe kwa idara, kwa kuzingatia aina ya mashirika yaliyopo. Afufue pension fund na bima kwa ujumla, ya afya na NIC.

Hiyo Ofisi ndio injini ya mashirika na taasisi zilizo chini yake

Jiwe alikuwa hapendi watu wenye akili kama hawa, akawa anajikusanyia majitu ya hovyohovyo kama Makonda na Sabaya.
 
Acha uongo hizo project za NHC alizofanya za maana ni zipi?,kujenga majengo ambayo badaye wapangaji wanakosa?
Kujenga nyumba za gharama badaye kuziuza kwa mamilioni ya pesa?

Msechu aliwekwa NHC na Kikwete kusaidia kupitisha fedha za umma-usilolijua ni usiku wa Giza bora Magufuli alimtoa.
Mkuu sikulaumu kwa kuwa na myopic view, upeo mdogo wa kuona mbali.
 
Anasuka taasisi, aliikuta NHC haieleweki, akaisuka. Nadhani ndio mara ya kwanza kuona katika tv mkutano wa msajili wa hazina na wadau wake.

Jiwe alikuwa hapendi watu wenye akili kama hawa, akawa anajikusanyia majitu ya hovyohovyo kama Makonda na Sabaya.
Halafu watu waseme Jiwe alikuwa legendari!!!
 
Unamjua kweli au wewe mwenyewe unajipigia promo?

Mmiliki wa Amboni Group of Companies
 
Huko ni kujipa moyo tu!!yaani madeni ya USA,ulinganishe na ya NHC?!!au na na TZ?!!Yeye ni pesa ngapi anatoa kwa ajiri ya misaada duniani kote,ndio mtoaji mkubwa wa misaada,iwe kupitia mashirika yake au ile misaada ya dharura!!na wewe je kuna misaada gani unayoitoa.Mchangiaji mkuu wa mashirika yote UN,ni yeye!!
Eti hata USA ana daiwa!akiacha kutoa hizo pesa zote anazozitoa kama misaada,hilo deni litakuwepo?!jaribu kutumia akili.
Mlinganyisho ni kulingana na uwezo wetu,nhc haikukopa sawa na USA bali kwa viwango vyetu.
Sawa na USA kwa uwezo wake
 
Tatzo hujamfatilia ndio maana unasema hivyo ,mengi yameboreka akiwa shirika la Nyumba,na sasa mengi yanafanyika akiwa Kama Msajili wa Hazina
Watanzania utawawaweza
Hawafatilii issues za nchi afu wanalalamika
Leo katoa hotuba nzuri sana Bw Mchechu
Naona anataka culture change kwenye Mashirika ya Umma
I predict atafanikiwa sana na ndio kitu Taifa linahitaji
Watu wanaodrive mabadiliko
Kwa hili Mamlaka za uteuzi ziko sahihi
Sasa aachwe hapo atulie ili impact ionekane mana tenguzi nazo zina madhara yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23] akili anazo bhna acha kumbeza rais wangu mpendwa snaaa
Akili Kila mtu anazo ila tunazidiana huku
20230212_101332.jpg
 
Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Rais amepatia sana, ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nini kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu, vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius.

Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa. Ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa.

Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu, building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa.

Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina, Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge, Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.

Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake. Amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.

Effectiveness, creative leadership, and strategies ni vitu muhimu sana kwake.

Hongera Nehemia Mchechu.
Hajui kutamka r na l. Hovyo tu.
 
Back
Top Bottom