TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
mmhhh sio kiboko huyo ?
Hivi wewe unaelewa maana ya watu waliobarikiwa? Kwa hiyo mwenye mwili mwembamba hajabarikiwa. Think twice before postingSi mchezo mambo haya. People are real blessed.
Anything too much is harmful
Hilo hata bure silitaki kwa hivyo vimiguu?bora nibakie na uflat wangu
Na huo mkao sasa loo,hazina yoote inakuja nyuma....burudaaani.
Hivi wewe unaelewa maana ya watu waliobarikiwa? Kwa hiyo mwenye mwili mwembamba hajabarikiwa. Think twice before posting
Hilo hata bure silitaki kwa hivyo vimiguu?bora nibakie na uflat wangu
No harmfulness. Every thing is so special on its existence!
Mw.Mungu ni fundi sana aisee! Usishangae ukapaka mafuta yoyote (may be yaMCHINA), ukashangaa asubuhi unapoteza uflat huo.(unakuwa PHONTOM!). Hahahahaaaaa!
Waacha kabisa mambo haya. Twayajua wenyewe! Siri ya mtungi muulize KATA bwanaweeeee....!
Babuu milango mingine haina mlango..mfano huo utaanza kuingilia upande gani
Mambo ya chumbani ayo mkuu. Njoo "PM". N i rahisi sana.
WARNING; Hakikisha una "kitendea kazi" enough for such a tusk!
Kuna style itafaa hapo kweli?:A S embarassed:
Duh.....ipoje hiyo? "Tinginya" kama hilo inabidi uwe na muda wa kutosha hasa.Yap! ipo inaitwa "punkunyungu!". Asili yake ni nchi moja inaitwa "NICARAGUA" (mnaijua nchi hiyo)