TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
- Thread starter
- #21
Duh.....ipoje hiyo? "Tinginya" kama hilo inabidi uwe na muda wa kutosha hasa.
Sawa kabisa!
Mambo mazuri hayataki papara. Unakwenda mdogo-mdogo(mwendo wa kitorondo). Ukipaparika, inakula upande wako.