Need to launch complaint against GSM GROUP

Need to launch complaint against GSM GROUP

I have never been enrolled in any social security. This is my 2nd work permit. Even first permit also nothing has been done.

Now they will be paying fines, penalties & interests on amount not deducted and remitted + Fines & Penalties. all compounded.
The good thing here is that you and the Social Security Funds are going to get a cut.
 
These guys bring in internationals, and cut their payroll cost by not enrolling them to Social Security Funds, locals are paid low and get enrolled to Social Security Funds. Theft.
 
Why is this 'babadunde gang' here confronting this Raj guy for his personal matters and lifestyle?
However bad and cruel that Raj guy was, he gottaa get his rights done by the GSM.
It's a hooligans battle. We just need our taxes collected from GSM and Raj paid or whatever.
GSM; get yo shit together.
 
Lazima madudu mengine yafukuliwe kwanza hao GSM walikuwa wanakwepa kodi sana
Wamekwepa kodi tangu enzi za mkwere mkuu,_wanachokosea ni kutosoma alama za nyakati....Magufuri hana utani na wakwepa kodi kabisa
 
Na walipata favor sana had hyo biashara kusimama. Naomba serikali iwakague vzuri madudu yao, walipe kodi ka Raia wa kawaida wanalipa na fine na wao wachunguzwe

Sina shida na hilo mkuu,_serikali ya awamu hii wako serious mno na kodi
 
Kwa kweli itapendeza wakifatiliwa vzuri historia yao ya kodi maana kipindi cha nyuma waliingiza vtu vingi Bila kodi
Sina shida na hilo mkuu,_serikali ya awamu hii wako serious mno na kodi
 
Kwa kweli itapendeza wakifatiliwa vzuri historia yao ya kodi maana kipindi cha nyuma waliingiza vtu vingi Bila kodi
Nina uhakika tangu jana serikali kupitia mamlaka zinazohusika eg,Tra,Nssf/Ppf,Migration, Takukuru etc zimeanza kujipanga kuwabana hawa wahujumu uchumi wa miaka mingi...hawatachomoka kabisa
 
Nina uhakika tangu jana serikali kupitia mamlaka zinazohusika eg,Tra,Nssf/Ppf,Migration, Takukuru etc zimeanza kujipanga kuwabana hawa wahujumu uchumi wa miaka mingi...hawatachomoka kabisa
Wawafatilie tu vzuri hawa jamaa wa najifanya wajanja na wanajua short cut kwa kutoa fedha kwa watumishi wasio waadifu, pia kwanini waajiri foreigners wakati hzo nafasi zinaweza kufanywa na wazawa kabisa
 
...haya sasa,..nilisema hawa GSM kama wangekuwa wajanja wakimalizana na huyu jamaa kitambo ili kumfunga mdomo
...kiburi cha kumtegemea Bashite & co,_kitawaponza soon

there’re various Tax avoidance techniques

as per attached work permit docs..social security fund will owe for 3 or 2 months only i.e Aug, Sept. n October 2018

prior to work permit can be Consultant no PAYE, NO NSSF

attached contract can be denied by GSM
 
Hii series inapoelekea patamu Sana Kuna character wataomba nao nafasi siku sichache waingie kwenye hii movie Duuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom