Need to launch complaint against GSM GROUP

Dear once contract made there is notice before termination, or lumsum amount with your monthly salary which u worked nothing has been paid.

Okay, now I see, you should be expecting not less $48,000. this is worth fighting for.
We have an incidence here in Tanzania of one indian national a PHD, who was maltreated by his bosses somewhere, not fully like you, and our courts awarded him a life fortune judgement.

So I also argue to fight & fight & fight untill the justice is awarded.
 
Kumbe mnakuwaga sio nduguu...mnapeana tu mijikazi wakati sie watanzania tupo kufanya kazi Kama hizo...anyway.
 
Ok sure
 
thx
 
Kabisa,hii ni dharau kwa Watanzania.
 
Swali langu ni moja tu kwa GSM.Hivi hapa Tanzania hamkuweza kupata Mtanzania wa kumwajiri mpaka mlete muhindi mwenye kingereza kibovu kushinda hata cha kwangu.
Ukiweka manager wa kihindi umejihakikishia mbinu za kukwepa kodi,kulipa vimshahara vidogo na kuwatisha wazalendo ili wavunge mdomo...kitu ambacho usingekipata kwa mswahili meneja
 

Wana nguvu sana....ni sawa ila mbona nawaona kama ni very very stupid people?

Yanini unagombana na mfanyakazi mmoja eti kisa vimafao vyake?Hii kwa mfanyabiashara mwenye akili ni stupidity ya hali ya juu....

Mimi hua sijaji mtu kwa maguvu na mikelele na who he knows,naangalia ana akili na ujanja kiasi gani.....Huwezi tegemea kugombana na kila mfanyakazi wako anaeacha kazi kisa mafao,ni upumbavu sana...tena mkubwa tuu....

Huwezi mmbana mwanadamu kwenye ukuta halafu akakaa anakuangalia tu,lazima hero gene yake i-take over ili kulinda survival yake...atakuumiza kwa chochote,ndio unatakiwa kujiuliza is it worth it?

Akina Salah na GSM honchos ni kama wana akili average sana ya ku-run hiyo kampuni,ndio maana wanatumia misaada ya wanasiasa na kadhalika ku-survive....

Hivi huwezi fanya biashara kwa akili yako ya kuzaliwa bila kutegemea misaada?Serikali aliyokua anaitegemea,ishatoka madarakani,sasa kaingia kichaa,wakijitusu kidogo tu,anaweza wanyea wote wakajuta kua TZ..wamuulize Mo na Manji.and the nigga is still thirsty,atawameza.Anatafuta tu kisingizio,ndio itokee sijui Tx Evasion lazima atazaa nao.
 
If these are true then this country is rotten
 

Wewe anzisha uzi wako, huu ni wa malalamiko ya jamaa kwa GSM. na wewe anzisha wa malalamiko yako kwake.
 
Let him reveal everything behind the scene ,
 
Wanajivunia Bashite mkuu,_time will tell
...and this might be the starting point
 
Kabisa,hii ni dharau kwa Watanzania.
There is nothing disgrace for anyone. When any new brands come in market, he send his people to ensure all set well. I have hired so many talent Tanzanian, you can go to DANUBE Mlimani and meet supervisor staff, they are ready to be sent like work force in international market.
 
If these are true then this country is rotten
Kuna industries ambazo zipo kwa muda mrefu ni aibu labour na uhamiaji kuruhusu wageni kuja kuchukua nafasi zetu.

Basi wakitoa kibali walau wawe na rekodi isizidi miaka 2 kukaa Tanzania kwa nafasi ambazo unapaswa kumuandaa Mtanzania kushika hatamu.

Uhamiaji tumieni hii kama sehemu ya chanfamoto zilizo mbele yenu.
 
Wanajivunia Bashite mkuu,_time will tell
...and this might be the starting point
Nasikia sasa hivi washakosana na Bashite...

Shida ya Bashite alikua na tumbo la kutaka hela kila siku,wakaona atawafilisi....

Ndio maana sasa hivi wanajiweka mbali na Bashite kidogo...Haiwezekani bajeti ya kuendeleza Dar na mambo yako binafsi unaenda kuchukua pesa GSM kila siku ya Mungu,jamaa wakaona wanafilisika fastaaaa.....

Sasa Bashite akipewa some important papers na evidences kadhaa anaweza waharibia GSM maisha kabisa mkuu.....

Let wait and see!
 

Now here you are being very positive. good.
 
I think you know kutekwa kwa Mo right??

Ha ha ha...I just think why wafanye hivyo...he he he heeeeee.

If the have done to you this then tell the info you have...waswahili tunasema wao wamemwaga mboga wewe mwaga ugali.
 

Sisi hatuna adequate skills za kusimamia retail business operations. na hatujui kuibia makampuni, wote tunaiba kama tunaibia serikali, serikali haiwezi kutetereka kwa kuiibia, utajitia madhambi bure, lakini ukiibia kampuni binafsi, you kill it all together.
 
Now here you are being very positive. good.
I have never issue in Tanzania, what i am only looking that company management is responsible for all mess. Witch are some people who play politics for their benefit. I am still saying to clear and settle all end of services in respected way. thats, it it was not my first company to work, but professionalism and ethics must be in place.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…