Need for speed world..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Salaam wakuu,
Mambo niaje? Aisee nilikua sijawahi kujaribu hii game ya NFS world ila leo nimeijaribu naona ni tamu sana. Ila mbona ukijaribu kuchat na mtu hareply? Anyways add me : DONCIZAR and let's race.
 
Salaam wakuu,
Mambo niaje? Aisee nilikua sijawahi kujaribu hii game ya NFS world ila leo nimeijaribu naona ni tamu sana. Ila mbona ukijaribu kuchat na mtu hareply? Anyways add me : DONCIZAR and let's race.

Mimi nimeishaicheza hii need for speed world ila sikuipenda kabisa.
 
hebu naombeni web addres yake unaweza kucheza online au paka uwe umeweka game kwenye pc tablet or etc
 
Frank G, Most Wanted ipi? maana hii ya 2012 pumba tupu. ya zamani ndo ilikuwa game. mi nakubaliana na Young Master kuhusu hii Rivals. tena siku hizi hamna racing games za maana. (labda Forza, lakini nyie hamna Xbox kama mimi :heh🙂
 
Last edited by a moderator:
Kikubwa wakuu mimi nimeipenda option ya online multiplayer ofcourse haiingii kwa miziki mingine ya NFS
 
Naungana nawe niliidownload nikacheza mara moja ikaniboa sijawahi cheza tena halina mvuto
I am the King if eNeed for Speed...mpaks sasa sijaona mtu anayeweza kunifunika kwenye racing ya aina yoyote ile iwe drift, drag, psrint etc. So ninaposema hii game ni mbaya....ni mbaya kweli.
 
I am the Master of Need for Speed...mpaka sasa sijaona mtu anayeweza kunifunika kwenye racing ya aina yoyote ile iwe drift, drag, sprint etc. So ninaposema hii game ni mbaya....ni mbaya kweli.

You are challenging me ndugu...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…