Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,677
- 4,145
Samahani mkuu, unaposoma serikali iingilie kati hili swala unahisi wanaonewa au? Na kama ndio basi kwanini wanaonewa?inasikitisha katika wavulana kumi MUISLAMU YUPO MMOJA TU.
katika wanawake 10 muislamu uyupo mmoja tu.
Katika shule bora kitaifa hakun a shule hata moja ya kiislamu., islamic semiary, serikali iingilie kati hili suala.