NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,515
2,000
Mh hakika matokeo ya hii shule yanapendeza.

yani unavyotazama na kiendelea kushuka kutazama listi ya divisheni yani unakuta divisheni 1 zote zimelala sambamba.

Ila kubwa na la kushangaza ni kwamba hakuna divishen 1 ya tarakimu mbili kama 10, 11, 13, nk.

Yani divisheni 1 zote ni za tarakimu 1 tu (single digit, yani ni 7, 8 au 9 tu mchezo umeisha
 
Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
5,807
2,000
"Oeni wanawake wenye uwezo kitaaluma msisumbue watoto.."

Alikua anasemaga Mwalimu wangu wa darasa nikiwa form two

Kuna ukweli hapa??
 
sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,515
2,000
1.png

2.png

3.png

4.png

5.PNG

Mh hakika matokeo ya hii shule yanapendeza.

yani unavyotazama na kuendelea kushuka kutazama listi ya divisheni yani unakuta divisheni 1 zote zimelala sambamba.

Ila kubwa na la kushangaza ni kwamba hakuna divishen 1 ya tarakimu mbili kama 10, 11, 13

Yani divisheni 1 zote ni za tarakimu 1 tu (single digit) , yani ni 7, 8 na 9 tu mchezo umeisha
 
Mkodoli

Senior Member
Oct 15, 2019
157
225
View attachment 1678494
View attachment 1678495
View attachment 1678496
View attachment 1678497
View attachment 1678498

Mh hakika matokeo ya hii shule yanapendeza.

yani unavyotazama na kuendelea kushuka kutazama listi ya divisheni yani unakuta divisheni 1 zote zimelala sambamba.

Ila kubwa na la kushangaza ni kwamba hakuna divishen 1 ya tarakimu mbili kama 10, 11, 13

Yani divisheni 1 zote ni za tarakimu 1 tu (single digit) , yani ni 7, 8 na 9 tu mchezo umeisha
Ayah bhana
 
mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
672
1,000
IT anayehusika na kupanga matokeo ya form two aache UPUMBAVU inachukua muda gani kuyapanga matokeo kialphabet ili iwe rahisi kuipata shule!!!,yaani unatumia zaidi ya masaa mawili kuitafuta shule mbona ya kidato cha nne ni rahisi kupata shule yamepangwa vizuri.Ajirekebishe matokeo yajayo yaani ni kero.
 
kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
2,247

IT aliye design website. Au nakosea?
 
mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
672
1,000
IT aliye design website. Au nakosea?
Yaani anayehusika na kupanga majina ya shule yaani yamechanganywa balaa hayako kialphabet inachukua muda mrefu kuitafuta shule tofauti na matokeo ya form 4 shule zimepangwa kialphabet na inakuwa rahisi kuipata shule unayoitafuta AJIREKEBISHE HUYO MTU YAANI NI KERO
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,401

Kwenye Browser yako tafuta walipoondika Find.. ingiza jina la shule itakupeleka fasta tu.
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,573
2,000
inasikitisha katika wavulana kumi MUISLAMU YUPO MMOJA TU.
katika wanawake 10 muislamu uyupo mmoja tu.

Katika shule bora kitaifa hakun a shule hata moja ya kiislamu., islamic semiary, serikali iingilie kati hili suala.
Baadae utasikia wanalalamika kwenye teuzi
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,573
2,000
Yaani anayehusika na kupanga majina ya shule yaani yamechanganywa balaa hayako kialphabet inachukua muda mrefu kuitafuta shule tofauti na matokeo ya form 4 shule zimepangwa kialphabet na inakuwa rahisi kuipata shule unayoitafuta AJIREKEBISHE HUYO MTU YAANI NI KERO
Nafikiri kuyapanga kama unavyotaka ilibidi kuongeza posho, ya f4 yamekuwa vile ni kwa vile kila mkoa ulikuwa na kituo cha kusahisha
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,573
2,000
IT anayehusika na kupanga matokeo ya form two aache UPUMBAVU inachukua muda gani kuyapanga matokeo kialphabet ili iwe rahisi kuipata shule!!!,yaani unatumia zaidi ya masaa mawili kuitafuta shule mbona ya kidato cha nne ni rahisi kupata shule yamepangwa vizuri.Ajirekebishe matokeo yajayo yaani ni kero.
Kila mwaka huwa ni hivyo
 
kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
2,247
2,000
Yaani anayehusika na kupanga majina ya shule yaani yamechanganywa balaa hayako kialphabet inachukua muda mrefu kuitafuta shule tofauti na matokeo ya form 4 shule zimepangwa kialphabet na inakuwa rahisi kuipata shule unayoitafuta AJIREKEBISHE HUYO MTU YAANI NI KERO
Tatizo ni website designer. Angalau kungekuwa na button ya ku-search shule uitakayo kwa lengo la kuipata kiurahisi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom