NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

inasikitisha katika wavulana kumi MUISLAMU YUPO MMOJA TU.
katika wanawake 10 muislamu uyupo mmoja tu.

Katika shule bora kitaifa hakun a shule hata moja ya kiislamu., islamic semiary, serikali iingilie kati hili suala.
Samahani mkuu, unaposoma serikali iingilie kati hili swala unahisi wanaonewa au? Na kama ndio basi kwanini wanaonewa?
 
Kasema Div 3 sio Div 1 ya 3... aibu kwako
Asante Mkuu.

Kuna mahali niliona Simanjiro karibia wanafunzi wote wamepata div 4. Lakini baadae nilipo cheki sehemu nyingine ilikuwa inaonyesha matokeo tofauti ambayo yalikuwa sio mabaya ki hivyo. Kulikuwa na div 2.
Labda watu wana copy miaka ya nyuma kimakosa na kuyaweka kama 2020!!
 
Inashangaza mtoto amemaliza kidato cha 4 eti hajui dazeni 1 ina vitu vingapi
Hiyo haina shida mkuu.

Shida ni kuwa mtoto anaulizwa kuhusu jambo fulani ambalo pengine kalisoma na kulihifadhi lakini hajui kabisa maana yake.
 
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.

Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.

Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.

Mkuu Ahsante sana,
Ila Matokeo ya Mwaka huu Umeyaona?
Haswa Physics?
Kwa Nchi Nzima Wanafunzi karibia 50,000 wa ascience,
Ukipata A 100 za Physics nakupa Laki hakiyanani!
Physics A ni za kuhesabu sana sanaa
Sasa hii ya AAA na ABB ita Apply? Kwa Science?
 
Baraza la Mitihani la Tanzania leo terehe 15/01/2022 linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne, Kidato cha Pili na Mtihani wa Kidato cha Nne 2021. Unaweza kutazama tukio hilo live kupitia youtube channel ya NECTA (Nectaonline) kuanzia Saa 4:00 asubuhi.
Source FB PAGE ya NECTA
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom