Sisi tushalogwa na aliyetuloga kafa.Yaani ivory coast hata droo imemshinda?
Necta wame badilisha viwango vya ufaulu kwa kidato cha nne na tano
Yaani ivory coast hata droo imemshinda?
duh!
Kumbe kila mwaka wanabadilisha tu ama ndiyo kutafuta big results now kwa haraka na wepesi kiasi hiki ?
Mkuu tusaidie chanzo cha habari yako kwa nia njema sana maana jana umeme ulikatika pia nayo ni mafanikio kwa nchi yetu
gpa
csee 3.6-5.0
acsee 3.7-5.0
csee 2.6-3.5
acsee 3.0-3.6
csee 1.6-2.5
acsee 1.7-2.9
csee 0.3-1.5
acsee 0.7 -1.6
fail
csee 0.0-0.2
acsee 0.0-0.6
Sisi tushalogwa na aliyetuloga kafa.
Yaani ivory coast hata droo imemshinda?
Nashangaa....Inawezekana jamaa amekurupuka toka usingizi na mawazo ya matokeo ya mechi za usiku. Sio mbaya ana machungu na Africa.
jamaa anamaanisha ya kwamba bora tujadili mambo ya soka kuliko elimu ya Tanzania.Nashangaa....Inawezekana jamaa amekurupuka toka usingizi na mawazo ya matokeo ya mechi za usiku. Sio mbaya ana machungu na Africa.
jamaa anamaanisha ya kwamba bora tujadili mambo ya soka kuliko elimu ya Tanzania.