NECTA watoa viwango vipya vya ufaulu Kidato cha Nne

NECTA watoa viwango vipya vya ufaulu Kidato cha Nne

Kweli tz ni noma kila mwaka viwango vipya.
 
Hahahahahaaaa kiko wapi waliokuwa wanapinga kuwa hakuna division five??? GPA 3.6-5 (Div 1);GPA 2.6-3.5 (Div 2);GPA 1.6-2.5 (Div 3); GPA 0.3-1.5 (Div 4) na GPA 0.0-0.2 (Div 5). Je waliokuwa wakipinga alichokisema Katibu mkuu Prof Mchome kikowapi???.

Usiwaamini the so called Professors in Tanzania! Muone dada Dada yetu Tibaijuka, she is no longer a renowned professor as she used to be -akisha kuja TZ na kujiunga na wahuni!
 
Hii ndiyo Tanzania, it doesn't have sustainable standards!!! Kila siku kubadilisha tu. Mimi naona waweke na Division 15 kabisa. Kwanza shule za kuwapeleka wakifaulu wanazo, waalimu waliobobea wapo? Vifaa vya kufundishia vipo? Maslahi ya waalim ili kuwapa motisha ni vipi? Badala ya ku deal na matatizo hayo wao wanashusha kiwango cha ufaulu uli kuficha udhaifu wao. Ndiyo maana watu wengine wanaamua kuzusha vifo.
 
Upangaji maski au madaraja ; bila kuboresha mitaala kweli inatija
 
Back
Top Bottom