NEC yatishia kusitisha uandikishaji wa BVR

NEC yatishia kusitisha uandikishaji wa BVR

ISSACK-HASSAN-Chair.jpg

Ahmed Issack Hassan was born on March 2, in 1970. He is a Kenyan lawyer who is currently the chairperson of the Independent Electoral and Boundaries Commission whose objective is to oversee a free and fair election in 2013 in Kenya. He was among nine commissioners who were appointed by President Mwai Kibaki and Prime Minister Raila Odinga on November 9, 2011, following earlier recommendation by Parliament. He is a Managing partner in the Law firm Ibrahim, Issack and Company Advocates and served as a commissioner in a government inquiry to the conduct of the Artur Brother, mercenaries alleged to have participated in a raid on the offices of the Standard Media Group in 2006.

LubuvaNEC(2).jpg

President Jakaya Kikwete has appointed retired Judge Damian Lubuva, a former Attorney General and Minister for Justice before joining the Court of Appeal; as new National Electoral Commission (NEC) chairman with effect from December 19, this year. Justice Lubuva takes over from Judge Lewis Makame whose tenure of service expired on July 31, 2011. Appeal Court judge Damian Lubuva departed from the judiciary and the public service in 2008 after a career spanning almost half a century.

Kadri mtu anizidi kuwa mzee ndivyo akili yake inavyozidi kufikiri mambo kitoto....
Huyu Mzee atakufa kifo cha aibu mara baada ya uchaguzi wa mwaka huu..... Anafanya upuuzi mwingi sana ambao ni MUNGU tu ndo ataweza kumlipa...na malipo yake ni mauti ya aibu!!
 
Amechelewa asitishe hata leo.Asitutishie sisi

Hiyo kazi inasemekana aliihongea na kupewa.Hakujali uzee wake na umri mkubwa kwamba hata uwezo tu wa kufikiri na kutenda umeshuka achiliambali kutokuwa na kumbu kumbu sahihi.Alichojali ni 10% ya mashine za bvr huku waliompa kazi wakiwa wameshajichulia zao.Akisahau kabisa yaliyompata mzee mwenzie wa Kenya aliesahau hata mgombea alieshinda uchaguzi na kwa aibu akakimbia nchi. Vitisho vyake havimtishi yeyote kwani hakuagizwa na yeyote kukubali uteuzi huku akijua wapo vijana wengi tu wakiwepo na majaji kama yeye wangeweza kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa. Arusha sio pa kunyea na bahati aliyatamkia hayo nje ya Arusha.
 
Akisitisha na hizo gharama za kununua mavitu feki atarudisha?
 
Aisee Lema ni Mtaalam kila kitu anajua yeye, hata maswala ya BVR alijifunza cuba kabla BVR haijaja hapa.

Ndiyo na ndo huyo aliyepigana mpaka BVR 10 kuongezwa pale Arusha na anapigana BVR nyinge kumi ziongezwe pale. Unataka nini zaidi ya hiyo ili ujue Lema anajua kila kitu? Vingine uwe ujajifumbia tu mdomo maana vinakuzidi kimo na akili, kiasi ukivijua kwa Capacity ndogo ya akili yako vitakusababishia Stroke zaidi ya uliyonyo..!!!

BACK TANGANYIKA
 
View attachment 262553

Ahmed Issack Hassan was born on March 2, in 1970. He is a Kenyan lawyer who is currently the chairperson of the Independent Electoral and Boundaries Commission whose objective is to oversee a free and fair election in 2013 in Kenya. He was among nine commissioners who were appointed by President Mwai Kibaki and Prime Minister Raila Odinga on November 9, 2011, following earlier recommendation by Parliament. He is a Managing partner in the Law firm Ibrahim, Issack and Company Advocates and served as a commissioner in a government inquiry to the conduct of the Artur Brother, mercenaries alleged to have participated in a raid on the offices of the Standard Media Group in 2006.

View attachment 262562

President Jakaya Kikwete has appointed retired Judge Damian Lubuva, a former Attorney General and Minister for Justice before joining the Court of Appeal; as new National Electoral Commission (NEC) chairman with effect from December 19, this year. Justice Lubuva takes over from Judge Lewis Makame whose tenure of service expired on July 31, 2011. Appeal Court judge Damian Lubuva departed from the judiciary and the public service in 2008 after a career spanning almost half a century.

Hebu ukiangalia umri wake kuna kwenda na speed ya Tanzania kweli!! Alikuwa anatakiwa sasa hivi awe yuko na wajukui kijijini
 
Anamtisha nani? Nani asiyejua anatumwa na nani na kwa nini.
 
Ndiyo na ndo huyo aliyepigana mpaka BVR 10 kuongezwa pale Arusha na anapigana BVR nyinge kumi ziongezwe pale. Unataka nini zaidi ya hiyo ili ujue Lema anajua kila kitu? Vingine uwe ujajifumbia tu mdomo maana vinakuzidi kimo na akili, kiasi ukivijua kwa Capacity ndogo ya akili yako vitakusababishia Stroke zaidi ya uliyonyo..!!!

BACK TANGANYIKA
Umejitahidi sana kuandika lakini hueleweki, Lema hana utaalam wa BVR asipotoshe watu, hajasomea popote BVR wala hakuna shahada ya BVR.
 
Hebu ukiangalia umri wake kuna kwenda na speed ya Tanzania kweli!! Alikuwa anatakiwa sasa hivi awe yuko na wajukui kijijini
Kama speed ya kazi unaifananisha na ile ya Kukimbia utakua sawa, ila hakuna uhusiano wowote katia hicho unachotaka tukiamini na ulichotuonyesha, hakuna uhusiano.
 
Nyunyu you have reminded me of one dark page in the history of Kenya Democracy, this was caused by no one but this Samuel Kivuitu.

Samuel Kivuitu (1939-25 February 2013) was head of the now defunct Electoral Commission of Kenya.[1] He was reappointed to his post by the Kenyan President Mwai Kibaki ahead of the 2007 general election, having already been in charge during Kenya's general elections in 1997, 2002 as well as a constitutional referendum in 2005. Samuel Kivuitu was appointed to the post By Daniel Arap Moi replacing Zacchaeus Chesoni, who was the head of the Electoral commission during Kenya's 1992 general election. He was among the people blamed for the elections that lacked transparency in Kenya in the year 2007 which eventually led to post-election violence. He later tried to exonerate himself, arguing that he was, more or less, a puppet of some other forces but those on the losing side could not hear any of it. Some people argue that if that was the case, Kivuitu should have stood up, principled, and resigned instead of presiding over what he knew was a sham election; that if people like him could not stand up firm at a moment of historical significance, then who would protect the common man, and tell him/her what really happened.

Kivuitu was educated in Uganda (1959-61) and Tanzania (1961-65). He was elected MP for Parklands in 1969-74 and 1983-88. He died on 25 February 2013 at the MP Shah hospital after suffering from throat cancer for years, though his death did not receive media attention as promptly as it would have been expected of a person of his status in the history of the country.View attachment 262538
Samuel Kivaitu wakati akiwa afya yake imedhoofu na anajutuia kusasababisha mauaji ya watu 1700 kutokana na kukosa kwake uwajibikaji wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi​
mamamdogo kwa utirio bana! Hongera!
 
Last edited by a moderator:
Huyu kweli hamnazo!! wameshaona ngoma nzito sasa wanaanza kutafuta sababu za kujitoa katika lawama, kwani hili zoezi wangelianza miaka 2,iliyopita kungekuwa na pressure?? kila kitu maandalizi ya kizima moto tu, wao mchakato ule wa vitambulisho vya uraia wangekuwa wameachana nao, kwani hata haukuwa na umuhimu kuliko hili la bvr, hela zenyewe za kuomba unakuwa huna kipaumbele???!! lakini tatizo kila mtu ana kuwa ameshatengeneza mradi wa kulia pesa, likibuma huko mi simo. TZ bwana kuna complications nyingi kuliko hata USA!!!? na zote hata hazieleweki!!!

Mkuu umeelimisha vizuri ila USA haipo nafasi ya kufanya upuuzi kama huu. Nakuelewa na kukubaliana nawe kuwa vitambulisho vya uraia ni fedha tu zilipigwa na mafisadi hao hao kwani zoezi lile lingeendeshwa vizuri ilikuwa kuongezea taarifa kidogo tu na kitambulisho hicho kingeweza kutumika hata kupigia kura. Tatizo ni mafisadi wetu kutafutiana ulaji. Hivi kweli hii shughuli ingeanza miaka miwili nyuma yangejitokeza haya? Tatizo la nchi viongozi wanawaza fursa za kuwaibia tu wananchi hivyo kuendesha kila zoezi kwa njia za ZIMA MOTO. Hayo yameonekana sehemu nyingi hadi kwenye michezo.Maandalizi ya wiki nenda katuletee kombe.Matokeo mnakalia kufukuza makocha na viongozi mkisahau hata mapenzi tu yanahitaji maandalizi. Kwa nini Lema asihoji uhuni wa tume kupeleka mashine za bvr 10 kwa wapiga kura 2000 na .penye wapiga kura 35000 kupatiwa mashine 3 tu. Huo ni ujinga au ni makusudi kwa kuelewa hii ni kata ya mjini inao wapinzani wengi hivyo tuwachinjie baharini. Sasa kama sio kelele za m-bunge hizo mashine 10 zingeongezwa? Kibaya zaidi mashine zenyewe zilikuwepo ofisini kwa mkurugenzi wa jiji la Arusha? Endeleeni kujidanganya kuwa ulimwengu mlioishi bado ni ule ule kuwa wajinga ndio waliwao
 
hatupewi muda mwingi wa kujiandikisha!!! ndo maaana wengi wameachwa...
ovyo kabisa!!™
 
Huyu kweli hamnazo!! wameshaona ngoma nzito sasa wanaanza kutafuta sababu za kujitoa katika lawama, kwani hili zoezi wangelianza miaka 2,iliyopita kungekuwa na pressure?? kila kitu maandalizi ya kizima moto tu, wao mchakato ule wa vitambulisho vya uraia wangekuwa wameachana nao, kwani hata haukuwa na umuhimu kuliko hili la bvr, hela zenyewe za kuomba unakuwa huna kipaumbele???!! lakini tatizo kila mtu ana kuwa ameshatengeneza mradi wa kulia pesa, likibuma huko mi simo. TZ bwana kuna complications nyingi kuliko hata USA!!!? na zote hata hazieleweki!!!
Na mkuu wa kaya ndio chanzo...bora asepe
 
Wasitishe upumbavu wao huo. hivi huyu jaji amekuwa na fikra za mtoto mdogo. haoni wanachokifanya ni utumbo mtupu?
 
Huyu babu nae!! kama wamelalamika kuhusu mashine na mkaongeza nyingine 10! it means they had a valid point katika malamiko yao; fanyia kazi na hayo malamiko mengine uone kama watakusumbua; kusitisha uandikishaji litakuwa ni agizo la CCM; wala sio tume kama tume. na kauli kama hizo ni kutishia amani ya nchi kwa sababu kupiga kura ni haki ya msingi ya kila raia aliyefikisha umri wa miaka 18+; kulifanya ni njambo la utashi wako binafsi ni kutukana intellect zetu; na hilo halikubaliki kwa sababu ni makosa ya tume kimsingi na serikali ya CCM kuchelewesha zoezi hilo kiasi hiki! na viongozi wanaolalamika wanaijua siri ya mtungi iliyoifanya tume na serikali ya CCM kuchelewesha zoezi hilo; ili KUHAKIKISHA INAANDIKISHA WATU WACHACHE IWEZEKANAVYO KWA MANUFAA YA ccm, NA HASWA HASWA VIJANA WALIOFIKISHA UMRI HUSIKA; WASIO NA AJIRA AMABAO NDIO WENYE UCHUNGU MKUBWA SANA NA SERIKALI YA CCM.
Angalizo kwa Lubuva: kumbuka hakuna barabara ndefu isiyokuwa na ncha; mtabana weeeee; lakini kuna siku nta itachakaa; mtaachia pwaaa! Watashindana weeee; lakini Hamtashinda utashi wa umma uliodhamiria na kujizatiti. kama Lubuva anabisha aangalie yaliyotokea Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, Afrika Kusini, Rwanda, Burundi, Central African Republic; Ghana; Nigeria nk nk...... and the list is a long litany of depesed pre-Independence parties!!
 
Back
Top Bottom