NEC yatishia kusitisha uandikishaji wa BVR

NEC yatishia kusitisha uandikishaji wa BVR

Ni sie wenye magari ndio tunawadekeza, hawastaili kabisa kuchukua hizo hela lakini kwa kuwa tuanona ni kidogo basi hatujali. ...kama kawaida yetu...tunaishia kulalamikia humu baada ya kazi za siku nzima.
Sio Dar tu hata Arusha Dodoma ndio wamezidi
Kampuni hizi huchaji 500/ kwa kutwa
lakini kwa wrong parking ndio wizi mkubwa kwani faini ni 50,000/ na sio nela ndogo km usemavyo
mm nimetandikwa pale Pugu road mbele ya ofisi za Toyota wakanipeleka TAMESA 50,000/ sina nina 40,000/ tu ya wese la kurudi wakabeba hiyohiyo nkaomba nikopeshwe kwa M-pesa toka nyumbani
Dodoma nao wamezidi na wanawekewa vifua na viongozi wa Manispaa akishirikiana na Madiwani na ukifanya mchezo wanatoboa matairi na misumari yao
Sema tunachotakiwa ni kuipangua hiyio Sheria ndogo ya Miji kwani ipo sema hujakutananayyo
 
Hicho kizee kikileta machafuko tutakichinja chenyewe kwanza we subiri
 
Mpuuzi sana huyo Mzee, hivi anadhani huu mchakato ni Mali yake na ccm? Atatafuta pa kujificha bila kupenda, aache ungese
 
Nadhani ni ushauri tuu angeanza kwenye mikoa yenye population ndogo watu wake wangepiga kazi na kumaliza na yeye Lubuva na team yake angebaini majembe ya kuendelea kufanya nayo kazi kutoka kwenye mikoa hiyo then mashine zote za BVR angehamishia mikoa mikubwa ambayo ni Mwanza, Mbeya, Dar es Salaam, na Arusha na Kilimanjaro na kufanya close monitoring.
Sasa mzee mnamchanganya tuu'

Hilo swala haliwezekani. Watu wanaoandikisha wengi wao hawajasoma IT. Tunaokota tu. Tume haina wafanyakazi wa kutosha. Tume ingesema unavyoandikisha watu wengi ndivyo pesa yako inaongezeka.. Kazi ingekuwa nyepesi.
 
Huyu kweli hamnazo!! wameshaona ngoma nzito sasa wanaanza kutafuta sababu za kujitoa katika lawama, kwani hili zoezi wangelianza miaka 2,iliyopita kungekuwa na pressure?? kila kitu maandalizi ya kizima moto tu, wao mchakato ule wa vitambulisho vya uraia wangekuwa wameachana nao, kwani hata haukuwa na umuhimu kuliko hili la bvr, hela zenyewe za kuomba unakuwa huna kipaumbele???!! lakini tatizo kila mtu ana kuwa ameshatengeneza mradi wa kulia pesa, likibuma huko mi simo. TZ bwana kuna complications nyingi kuliko hata USA!!!? na zote hata hazieleweki!!!

Mimi nashangaa,maana ya mtu kustaafu kuifanyia kazi Serikali ndo nini?.
Kimtu kimeshajichokea kwa nini kinapewa kazi kama hizi?.Tubadilike maana haya ni matokeo ya kuendelea kuajiri watu walio staafu.Eti mwenyekiti wa tume???????????????????????.
Ni bora wangemtafuta hata mkulima wa kijijini maana huenda angefanya kazi ya kutukuka kuliko huyu jaji mstaafu.
 
Maamuzi yenye busara hutokana na vichwa vyote viwili kuwa active..huyu mzee nina wasiwasi maamuzi yake yanakosa yanambata na kichwa cha pili kutokufanya kazi...
 
Kama jaji mzoefu alitakiwa kutambua hilo kuwa haki hudawai na muda mwingine wa watu wengine hupoteza maisha kwa kudai haki ya wengine.





Hili la Muda ndiyo tunalolitaka kusikia na siporojo za kilumumba. Jaji anafahamu fika hesabu za mashine zilizopo na uwezo wa wake na mahitaji yaliyopo ya watu wakuandikishwa na muda ambao Tume yake imeutoa.

Mkuu Hali haidaiwi,kudai haki ni woga,nikusahihishe
"THE RIGHTS ARE TAKEN,THEY ARE NOT GIVEN-haki huchukuliwa,haki haiombwi.
Tuamke tuchukue haki yetu,na hapo ndipo wanaodhulumu haki wataona madhara yake,
Haki si kitu cha kuchezanacho,penye haki amani ni lazima,ila penye dhuluma ni woga tu umetawala,na ukiondoka ni hatri na hasara.
Sikutegemea mtoa haki kama mzee Lubu atacheza na haki,ninawasasi wasi kama alikuwa akitoa haki.
 
Nadhani kusitisha zoezi ni uamuzi wa BUSARA na HEKIMA zaidi.Mr.Mkude Simba sitisha tu zoezi,kama ubavu unao.

Naona Mori ya watanzania kujitokeza imekustua pole sana.Ila jua HAKI ya mtu haiombwi?
 
hiv inawezekana huyu mzee ana kadi ya ccm?
kama anayo inamaana ndio mkakati wa goli la mkono?
aaah jamaniiii!!
 
Back
Top Bottom