Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,232
- 18,401
Akisitisha uandikishwaji atakuwa amesitisha zoezi zima la uchaguzi maana yake akina lema watakuwa wamepita bila kupingwa,si itakuwa ahueni kwa baadhi ya wagombea?
Kiongozi nimecheka sana!Huyu Mzee sijuhi alikula maharage ya wapi leo..... Hivi anafikiri kujiandikisha daftari la wapiga kura ni hisani ambayo anaweza kusitisha apendavyo...???
Nimegundua kumbe majaji wakizeeka wanageuka kumbikumbi.....!!
Mie nimewahi kumnasa kibao mfanyakazi wa parking!Wadau hivi hela na fines za parking wanazokusanya hii kampuni zinaenda wapi maana hamna maboresho yoyote ya parking lots wala barabara.
Naona wameanza uhuni mwingine wa kusema baadhi ya parking spaces zina watu.Wengine tukapaki wapi?
Pia wameanza kuvizia maeneo nje ya katikati ya mji ambayo yana offices zilizo busy kama bank branches wanasema eneo la parking ni la kulipia.
Wanakeraaaaa.
hongera !Mie nimewahi kumnasa kibao mfanyakazi wa parking!
Huyu Lubuva kasoma darasa moja na Kivuitu wa Kenya.Huyu mzee kashiba sasa anaanza kuropoka!
Hana uwezo wa kusitisha zoezi! Ni ulevi tu wa madaraka na kuropoka!
Kama anaona wanasiasa wanavunja sheria taratibu zipo za kufanya na sio kuropoka eti atasitisha zoezi wakati anajua uwezo huo hana!!
hongera !