Uchaguzi 2020 NEC yataka wagombea wasiwe na matokeo mfukoni

Magufuli anatekeleza majukumu kama rais wa JMT anatoa pesa kutekeleza miradi kama mkuu wa nchi tumia akili we Minyoo.
Wewe ndiyo utumie Akili Tambua kuwa mda huu siyo wa kugawa pesa live ukigawa pesa ni Rushwa, Tambua kuwa mtukufu Mkoloni kaburu tokea chato ni mgombea kama wagombea wengine
 
Sheria inaruhusu kulinda kura ukiwa mita kadhaa , Lakini Tumeccm NECCCM kwa njia haramu za kishetani walizokariri toka CCM yao wanazua watu kulinda kura zao zisiibiwe na CCM
Sheria gani hiyo wewe Minyoo? Mlinzi wa kura ni wakala,acha uzushi.
 
Wewe ndiyo utumie Akili Tambua kuwa mda huu siyo wa kugawa pesa live ukigawa pesa ni Rushwa, Tambua kuwa mtukufu Mkoloni kaburu tokea chato ni mgombea kama wagombea wengine
JPM ana kofia mbili pale alipo seme minyoo inakufanya usitambue hilo.
 
JPM ana kofia mbili pale alipo seme minyoo inakufanya usitambue hilo.
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho haujaacha uchangudoa malunde sasa unafanya uchangu same? Uchangu wako kwa cyprian Musiba umeaisha? au umepata HIV ndiyo maana uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho?
 
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho haujaacha uchangudoa malunde sasa unafanya uchangu same? Uchangu wako kwa cyprian Musiba umeaisha? au umepata HIV ndiyo maana uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho?
Minyoo ya nguruwe ilishaharibu kichwa chako. JPM ni rais wa JMT pia ni mgombea wa Ccm. Tumia akili we kenge.
 
Acha uongo 2015 wapiga kura waliojiandikisha walikuwa milioni 24 sio milioni 20 .Ongezeko ni milioni 5 sasa hivi

Takwimu zako wewe ndio za uongo
Unapanic bure tu bila sababu bibie..

Hizo takwimu wala hazina uhusiano na takwimu halisi za NEC za wapiga kura wa 2015..

Nimetoa kama mfano tu ktk kufafanua hoja yangu..

Shida yako umesoma bila umakini wa kuelewa mantiki ya hoja..

Bahati njema nimezipata takwimu halisi kwamba;

1. Registered voters mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 (siyo 24,000,000 wa kwako)..

2. Waliojitokeza kupiga kura mwaka huo ni 15,589,639..

3. Ambao hawakupiga kura maana yake walikuwa 7,571,801..

4. Tukumbuke mwaka huo kulikuwa na hamasa kubwa sana ya watu kupiga kura kutokana na ujio wa Edward Lowassa upinzani..

5. Pamoja na hayo wapiga kura 7,571,801 hawakwenda vituoni kupiga kura tokana na sababu mbalimbali ikiwemo kifo, kuhama makazi nk..

6. Mwaka huu tunaambiwa wapiga kura waliojiandikisha ni 29,000,000+ ikiwa ni ongezeko la wapiga kura 5,838,560..

7. Ukichukua idadi ambao hawakupiga kura mwaka 2015 ambao ni 7,571,801 ina maana kuna uwezekano wapiga kura approximately 5,000,000 hawapaswi kuwa ktk daftari la wapiga kura kwa sababu moja kubwa ya KIFO..

8. That's means, mwaka huu tunakwenda na idadi ya waliopiga kura mwaka 2015 kama takwimu hai yaani 15,589,639 jumlisha ingizo jipya la wapiga kura 5,000,000+ na 2,500,000 ambao hawakupiga kura mwaka 2015 ambao wako hai.

Na hivyo basi, kawaida tutapata wapiga kura wasiozidi 23,089,639 tu...!!

9. Kama hamasa ya CHADEMA na Tundu Lissu itasukuma watu wengi kwenda kupiga kura, basi instarajiwa idadi ya watakaojitokeza kwenda kupiga kura haitazidi 17,000,000..!!

Huu ni uchambuzi halisi kutokana takwimu za NEC yenyewe..

Ikitokea wapiga kura 27,000,000 kati ya 29,000,000 wanaosemwa na NEC ndiyo waliojiandikisha wakajitokeza kwenda kupiga kura mwaka huu, basi hii itahitaji verification ya hali ya juu kuthibitisha hili..

Mpango mzima wa wizi uko hapa asikudanganye mtu..!

Tundu na CHADEMA na ACT Wazalendo lazima walitafutie dawa mapema hili before it's too late...
 
NEC ni wapumbavu sana,kwa mfano huko Tanga jimbo moja wamewaengua wagombea udiwani wa upinzani 16 kati ya 21 kwa sababu za kijinga kabisa...hapo huyo Mahera alikuwa anaongea upumbavu gani sijui
NECCCM Tumeccm wamefanya ushetani mkubwa mwaka huu wamebaka sanduku la kura kwa kupitisha miccm kwa neno kapita bila kupingwa, sasa wananchi watakuwa na madiwani na wabunge wa CCM wasio chaguo la wapiga kura ambao wakiwa Bungeni kazi zao ni kugonga meza kusema ndiyooo na kupitisha mikataba mibovu.
 
Back
Top Bottom