Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Unajua Mami . Unachokikataa kwa mshindani wako , uwe wa kwanza kukipractis . Ccm na mgombea wao hawana ndoto za kushindwa hata kabla ya kura kupigwa !!. Utawalaumu vipi upande wa pili kuwa na dhana ya udanganyifu ndani ya tume ?!.Mnyaturu ana tiketi kabisa. Anawaachia vumbi tar 30.