NEC yajipanga uchaguzi ujao kuaminiwa dunia nzima

Wanaobeza na kujilalamisha hapa wote hakuna mwenye facts za namna gani Tume ilifanya vibaya kwenye uchaguzi mkuu wa 2020. Wote wanakuja na porojo za WANASIASA

Nchi ngumu sana hii.

Mahera endelea kupiga kazi na timu yako Mtoto wetu.
Sisi tunataka leadership transitions za amani. Hawa waongo wachache walozoea kushindwa tushawazoea
 
Mahela mwingine au yule mchafuzi wa uchaguzi uleee
 
Mahera mwenyewe soon anang`olewa pale tume, ni mmoja wa masalia ya Legendary Pombe so acha aongee kwa mara ya mwisho kabla hajarudi kule.
 
Hongereni Sana NEC kwa kuendelea kujipambanua katika dira yenu kutoka kuwa chombo kinachoaminika ktk kusimamia Uchaguzi Africa mpka kuwa chombo Bora kinachoaminika Ulimwengu mzima.Hii ni dira yenye
maono makubwa ambayo mnatanua WiGo sasa kutoka Africa sasa mmewaza zaidi ya Africa.kwa mipango mizuri mnayoendelea kujipanga hakiki hiyo dira itafijiwa malengo husika.Kongole Sana kwenu NEC kupitia Dr.Charles Mahera ambaye ndiye mtendaji mkuu wa NEC
 

 
Huyo Mahera atakuwa amechanganyikiwa, sio bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
madness...dunia yote inajua NEC is fully owned by ccm. Haiwezi ikatenda haki
 
Hiyo kamati ya CCM inayojiita NEC hawana jipya. Hakuna uchaguzi Tanzania.
 
NEC inafanya kazi zake kwa weledi so hatuna shaka nayo kabisa na tunaamini wataendeleza kazi nzuri hongera kwao..
 
Bahati njema Mungu alijibu unafiki wa kila namna uliofanyika kwenye uchaguzi wa 2020!
 
Wadau ni vyema kweli wakajipanga. Na Wadau wakuu wa Uchaguzi ni Vyama vya Siasa, Badala ya Wadau kuhangaika na mambo ambayo sibya msingi ni vyema wakajikita Sasa nankuimarisha Vyama vyao kuanzia ngazi ya mashina au matawi kwani huko ndiko kuna wapiga kura wao.

Lakini pia ni wakati wa Wadau wa Uchaguzi ambao ni wapigakura kuanza kuwatathmini walioshinda katika chaguzi zilizopita kama kweli dhamana waliyowapa wanaitendea kazi vyema .

Vyama badala ya kuhangaika na mambo hayo ya msingi vinahangaika na Katiba Mpya mara Tume Huru lakini vinaachankujijenga na kuhimiza wanachama na wafuasi wao kutunza kadi zao za kupiga kura, na wengine kuwa tayari kuboresha taarifa zao pindi NEC wakianza hilo zoezi aghalabu wakati wa kupiga kura basi wawe na sifa stahiki.

TUACHE POROJO ZISIZO NA TIJA, SISI NI WADAU WA UCHAGUZI TUACHE MATUSI NA KEJELI NA BADALA YAKE TUVISAIDIE VYAMA VYETU KUJIPANGA. MIAKA MITAMO SI MINGI NA SASA NI KAMA IMEBAKI 2.
 
Kila aliyeshiriki kuhujumu maamuzi ya Watanzania kwenye uchafuzi wa 2020 ni lazima Mungu atamchapa hapahapa duniani.

Huyu siku si nyingi mtasikia tunkama siyo stroke, basi lolote baya na liwe juu yake Amen.
Mungu akuponye na Imani yako ya kishirikina. Ungeweza kutumia uchawi huo basi ungesaidia Chama chako kushinda au hata kua na maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…