NEC yajipanga uchaguzi ujao kuaminiwa dunia nzima

MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote.

Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa uchaguzi kujadili na kuchangia taarifa ya uchaguzi 2020, kilichoandaliwa na Kituo cha Amani Haki na Msaada wa Kisheria Tanzania (PLAJC). "Tanzania ni nchi yenye misingi ya demokrasia inayozingatia sheria, ni imani yangu mapendekezo yatakayotokana na kikao hiki yatajielekeza katika kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini na hatimaye kukuza na kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa," alisema.

Alisema uchaguzi ni muhimu katika nchi kwani unaashiria kukua na kukomaa kwa demokrasia katika nchi, kupitia uchaguzi wananchi hupata fursa na kuchagua viongozi wanaowataka kwa hiari.

“Kwa upande mwingine uchaguzi unawafanya viongozi waliochaguliwa kufanya kazi kwa kujiamini kwa kuwa wana ridhaa ya wananchi wanaowaongoza.
Pamoja na ukweli huo ili uchaguzi ukidhi malengo hayo ni lazima usimamiwe vizuri na kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki,” alisema.

Mwenyekiti wa PLAJC, Leatitia Petro alisema kikao hicho ni kwa ajili ya kujadili na kuchambua taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ya NEC pamoja na taarifa mbalimbali za wadau wa ndani na nje waliopewa vibali na tume kuangalia uchaguzi mkuu 2020.

Alipongeza serikali kwa kugharamia shughuli za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwa asilimia 100.

Pia alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga mazingira wezeshi kwa taasisi zisizo za kiserikali kuendelea kufanya kazi za kuleta maendeleo kwa wananchi.
Wewe jambazi mahera toka li
ni kibaka kama wewe akaaminika.?
 
Mahera anamuigizia nani?Yeye ameshiriki dhambi ya kuengua wapinzani na kuwapitisha CCM bila kupingwa halafu anasema Nini!Shwain kabisa!
 
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote.

Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa uchaguzi kujadili na kuchangia taarifa ya uchaguzi 2020, kilichoandaliwa na Kituo cha Amani Haki na Msaada wa Kisheria Tanzania (PLAJC). "Tanzania ni nchi yenye misingi ya demokrasia inayozingatia sheria, ni imani yangu mapendekezo yatakayotokana na kikao hiki yatajielekeza katika kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini na hatimaye kukuza na kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa," alisema.

Alisema uchaguzi ni muhimu katika nchi kwani unaashiria kukua na kukomaa kwa demokrasia katika nchi, kupitia uchaguzi wananchi hupata fursa na kuchagua viongozi wanaowataka kwa hiari.

“Kwa upande mwingine uchaguzi unawafanya viongozi waliochaguliwa kufanya kazi kwa kujiamini kwa kuwa wana ridhaa ya wananchi wanaowaongoza.
Pamoja na ukweli huo ili uchaguzi ukidhi malengo hayo ni lazima usimamiwe vizuri na kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki,” alisema.

Mwenyekiti wa PLAJC, Leatitia Petro alisema kikao hicho ni kwa ajili ya kujadili na kuchambua taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ya NEC pamoja na taarifa mbalimbali za wadau wa ndani na nje waliopewa vibali na tume kuangalia uchaguzi mkuu 2020.

Alipongeza serikali kwa kugharamia shughuli za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwa asilimia 100.

Pia alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga mazingira wezeshi kwa taasisi zisizo za kiserikali kuendelea kufanya kazi za kuleta maendeleo kwa wananchi.
Sitachangia uzi huu kwa kuogopa BAN
 
Sioni tena watanzania wanaojitambua kujitokeza kushiriki kupiga kura kwa mazingira haya. Labda yatokee machafuko, au katiba mpya na tume huru ya uchaguzi iwepo. Kinyume na hapo wapiga kura watazidi kuwa wachache kupita maelezo.
 
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote.

Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa uchaguzi kujadili na kuchangia taarifa ya uchaguzi 2020, kilichoandaliwa na Kituo cha Amani Haki na Msaada wa Kisheria Tanzania (PLAJC). "Tanzania ni nchi yenye misingi ya demokrasia inayozingatia sheria, ni imani yangu mapendekezo yatakayotokana na kikao hiki yatajielekeza katika kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini na hatimaye kukuza na kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa," alisema.

Alisema uchaguzi ni muhimu katika nchi kwani unaashiria kukua na kukomaa kwa demokrasia katika nchi, kupitia uchaguzi wananchi hupata fursa na kuchagua viongozi wanaowataka kwa hiari.

“Kwa upande mwingine uchaguzi unawafanya viongozi waliochaguliwa kufanya kazi kwa kujiamini kwa kuwa wana ridhaa ya wananchi wanaowaongoza.
Pamoja na ukweli huo ili uchaguzi ukidhi malengo hayo ni lazima usimamiwe vizuri na kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki,” alisema.

Mwenyekiti wa PLAJC, Leatitia Petro alisema kikao hicho ni kwa ajili ya kujadili na kuchambua taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ya NEC pamoja na taarifa mbalimbali za wadau wa ndani na nje waliopewa vibali na tume kuangalia uchaguzi mkuu 2020.

Alipongeza serikali kwa kugharamia shughuli za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwa asilimia 100.

Pia alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga mazingira wezeshi kwa taasisi zisizo za kiserikali kuendelea kufanya kazi za kuleta maendeleo kwa wananchi.

Bila tume huru mpya wapinzani wa ukweli hawatashiriki kabisa
 
Mahera hana sifa tena ya kuwa ndani ya tume. Haiwezekani mtu usaidie uharibifu wa uchaguzi kwa kisingizio cha Magufuri,dhambi ni dhambi tu. Ifike mahala mtu uwe na aibu.
 
Nilitamani nitukane hapa Kila Mtu aone tusi langu ila nimeghairi,

Huyu mahera si ndio alikua CHAWA wa mwendakuzimu jiwe na ni kada wa chama chakavu Cha kijani,
Eboooo Leo anasemaje?

Punguani kabisa Hilo jamaa Kwa ule uchafuzi waliofanya nitakuja nisimulie mpaka wajukuu kama sio ana Kwa ana nitaacha maandishi baadae hapo kile kioja Cha uchaguzi kitengenezewe commedy show wanangu wapige Hela
😁😁😁😁
 
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote.

Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa uchaguzi kujadili na kuchangia taarifa ya uchaguzi 2020, kilichoandaliwa na Kituo cha Amani Haki na Msaada wa Kisheria Tanzania (PLAJC). "Tanzania ni nchi yenye misingi ya demokrasia inayozingatia sheria, ni imani yangu mapendekezo yatakayotokana na kikao hiki yatajielekeza katika kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini na hatimaye kukuza na kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa," alisema.

Alisema uchaguzi ni muhimu katika nchi kwani unaashiria kukua na kukomaa kwa demokrasia katika nchi, kupitia uchaguzi wananchi hupata fursa na kuchagua viongozi wanaowataka kwa hiari.

“Kwa upande mwingine uchaguzi unawafanya viongozi waliochaguliwa kufanya kazi kwa kujiamini kwa kuwa wana ridhaa ya wananchi wanaowaongoza.
Pamoja na ukweli huo ili uchaguzi ukidhi malengo hayo ni lazima usimamiwe vizuri na kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki,” alisema.

Mwenyekiti wa PLAJC, Leatitia Petro alisema kikao hicho ni kwa ajili ya kujadili na kuchambua taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ya NEC pamoja na taarifa mbalimbali za wadau wa ndani na nje waliopewa vibali na tume kuangalia uchaguzi mkuu 2020.

Alipongeza serikali kwa kugharamia shughuli za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwa asilimia 100.

Pia alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga mazingira wezeshi kwa taasisi zisizo za kiserikali kuendelea kufanya kazi za kuleta maendeleo kwa wananchi.
Rubbish kutoka kwa shetani
 
Kuna mazingira ya kuwa na tume yenye kuaminika lkn sio haya ya TANZANIA.Mahera asifikiri sisi ni watoto.
 
Kama mahera ana Ubavu amshauri Raisi wake watengeneze tume huru na kila Mtanzania aone pasipo shaka alafu ndio aje kutuambia hayo anayotuambia.
 
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote.

Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa uchaguzi kujadili na kuchangia taarifa ya uchaguzi 2020, kilichoandaliwa na Kituo cha Amani Haki na Msaada wa Kisheria Tanzania (PLAJC). "Tanzania ni nchi yenye misingi ya demokrasia inayozingatia sheria, ni imani yangu mapendekezo yatakayotokana na kikao hiki yatajielekeza katika kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini na hatimaye kukuza na kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa," alisema.

Alisema uchaguzi ni muhimu katika nchi kwani unaashiria kukua na kukomaa kwa demokrasia katika nchi, kupitia uchaguzi wananchi hupata fursa na kuchagua viongozi wanaowataka kwa hiari.

“Kwa upande mwingine uchaguzi unawafanya viongozi waliochaguliwa kufanya kazi kwa kujiamini kwa kuwa wana ridhaa ya wananchi wanaowaongoza.
Pamoja na ukweli huo ili uchaguzi ukidhi malengo hayo ni lazima usimamiwe vizuri na kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki,” alisema.

Mwenyekiti wa PLAJC, Leatitia Petro alisema kikao hicho ni kwa ajili ya kujadili na kuchambua taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ya NEC pamoja na taarifa mbalimbali za wadau wa ndani na nje waliopewa vibali na tume kuangalia uchaguzi mkuu 2020.

Alipongeza serikali kwa kugharamia shughuli za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwa asilimia 100.

Pia alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga mazingira wezeshi kwa taasisi zisizo za kiserikali kuendelea kufanya kazi za kuleta maendeleo kwa wananchi.
Hawezi kuaminika kamwe.Na angekuwa na maono ya mbali,angeshajiuzuru zamani.Halafu hivi huyu jamaa anaamini wa Tanzania ni wajinga kiasi hicho?
 
Kwa tume ipi uchaguzi uwe huru.hii ya mahera kweli,mbona 2020 haukuwa huru au hajui Hilo,mwambie asitufanye wajinga,Ni vile tunamheshimu
 
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote.

Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa uchaguzi kujadili na kuchangia taarifa ya uchaguzi 2020, kilichoandaliwa na Kituo cha Amani Haki na Msaada wa Kisheria Tanzania (PLAJC). "Tanzania ni nchi yenye misingi ya demokrasia inayozingatia sheria, ni imani yangu mapendekezo yatakayotokana na kikao hiki yatajielekeza katika kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini na hatimaye kukuza na kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa," alisema.

Alisema uchaguzi ni muhimu katika nchi kwani unaashiria kukua na kukomaa kwa demokrasia katika nchi, kupitia uchaguzi wananchi hupata fursa na kuchagua viongozi wanaowataka kwa hiari.

“Kwa upande mwingine uchaguzi unawafanya viongozi waliochaguliwa kufanya kazi kwa kujiamini kwa kuwa wana ridhaa ya wananchi wanaowaongoza.
Pamoja na ukweli huo ili uchaguzi ukidhi malengo hayo ni lazima usimamiwe vizuri na kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki,” alisema.

Mwenyekiti wa PLAJC, Leatitia Petro alisema kikao hicho ni kwa ajili ya kujadili na kuchambua taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ya NEC pamoja na taarifa mbalimbali za wadau wa ndani na nje waliopewa vibali na tume kuangalia uchaguzi mkuu 2020.

Alipongeza serikali kwa kugharamia shughuli za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwa asilimia 100.

Pia alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kujenga mazingira wezeshi kwa taasisi zisizo za kiserikali kuendelea kufanya kazi za kuleta maendeleo kwa wananchi.
Uchaguzi wa kuaminiwa?! Kuna kitu ambacho anakijua hakikuwa sawa kwa chaguzi zilizopita?! Maneno yake yanafikirisha
 
Wapumbavu hao na huyo Mwenyekiti ni mbwa kabisa.
 
Tume iwe huru wakati huu Nape mzee wa goli la mkono yupo karibu kabisa na mama kumsaidia kazi!
 
Back
Top Bottom