NEC yabariki kufukuzwa wabunge 8 wa CUF na kutaka majina mapya kwa ajili ya uteuzi

Hii kitu inakwenda faster, na Lipumba anapeleka majina mapya leo leo. Sijajua mpaka sasa why Lipumba anakubalika kama mwenyekiti, au kipindi kile alipoondoka kwenye katiba ya CUF huko kwenye ma documents aliendelea kuwa mwenyekiti ? Na wao walitakiwa wamreplace onspot.
Kuna kosa la kiufundi lilifanyika ndipo Lipumba alipopata upenyo wa kuludi na kuendelea na Uenyekiti wake, mtu aliesema watu wanatakiwa kusoma aliona mbali sana!!!!
 
Ni usaliti wa kiwango cha juu sana kwa mwanachama kuungana na makada wa chama kingine na kuanzisha operesheni maalumu ya kumng'oa Mwenyekiti.

Sijawahi kusikia duniani bali ni hapa Tanzania tu.

Acha wavune walichopanda...wahamie chadema basi
 
NEC nayo yakubari kufutwa kwa Ubunge wa Wabunge nane wa Cuf !! yaitaka Cuf kuteua Majina nane (8) kutoka ktk orodha iliyo wasilishwa Ktk Ofisi ya Tume siku kumi na tano(15) kabla ya Uchaguzi wa 2015.

Ni wazi suala la Ubunge wa waliokua Wabunge hao nane (8) umekoma rasmi
Punde Cuf kutangaza majina nane (8) yanayo ziba nafasi zao.

Ramadhan Kailima, Mkurugenzi wa NEC amethibisha.

Ndani ya siku tatu kazi aliyotumwa imetimia wakati kesi yake inaenda mwaka kwa maagizo toka juu imekaliwa
Ndani ya siku mbili kila kitu tayari
 
..kwa jinsi hawa NEC ccm Na bunge CCM wanavyofanya hujma kwenye haki itafika mahali nao wataanza kutunguliwa kama kule kibiti....naliona hili linakuja haki vile....maana huu uhayawani wanaowafanyia wapinzani hauelezeki.....ni suala la muda tu...watu wameshachoka kuonewa...
 
Kuna barua toka mwaka 2015 mpaka leo hazifanyiwa kazi lakini ya Lipumba ni ndani ya siku moja na spika akiwa nje ya nchi mambo yote tayari.
 
..kwa jinsi hawa NEC ccm Na bunge CCM wanavyofanya hujma kwenye haki itafika mahali nao wataanza kutunguliwa kama kule kibiti....naliona hili linakuja haki vile....maana huu uhayawani wanaowafanyia wapinzani hauelezeki.....ni suala la muda tu...watu wameshachoka kuonewa...
CCM ni hatari sana
 
Breaking news

NEC nayo yakubari kufutwa kwa Ubunge wa Wabunge nane wa Cuf !! yaitaka Cuf kuteua Majina nane (8) kutoka ktk orodha iliyo wasilishwa Ktk Ofisi ya Tume siku kumi na tano(15) kabla ya Uchaguzi wa 2015.

Ni wazi suala la Ubunge wa waliokua Wabunge hao nane (8) umekoma rasmi
Punde Cuf kutangaza majina nane (8) yanayo ziba nafasi zao.

Ramadhan Kailima, Mkurugenzi wa NEC amethibisha.

Ndani ya siku tatu kazi aliyotumwa imetimia wakati kesi yake inaenda mwaka kwa maagizo toka juu imekaliwa
NEC imepelekewa taarifa kutoka kwa spika ya kuwa viti hivyo viko wazi (wao hawawezi kukubali au kukataa). Itakavyokuwa ni kwamba barua ya NEC kwenda CUF itapelekwa kwa CUF (Lipumba) kwani anuani ya makao makuu ni huko. I suspect itaelekezwa kwa katibu mkuu lakini kwa kuwa katibu mkuu "hayupo" hapo makao makuu itaelekezwa kwa Naibu Katibu Mkuu (MS) na yeye kushirikiana na M/Kiti watachagua wakina mama kutoka kwenye hiyo orodha ambao wanaunga mkono CUF (Lipumba). Baada ya hapo kazi itakuwa fukuza fukuza hadi upende wa pili udhoofike ili mkutano wa uchaguzi utakapo fika................Kwa upande wa pili ama washinde mahakamani na CUF Lipumba itamkwe kuwa ni batili au wajitoe chamani (hapa ni kupoteza brand ya CUF kitu ambacho ni kigumu kumeza). Kama watatoka CUF ni vigumu kujua kitakocho fuatia. CUF Lipumba ikikosa wafuasi wa kutosha itakufa-lakini hili sidhani kama litatokea kwani hii project inaendeshwa kimkakati sana. Na huenda malumbano yote haya yanatokana na haja ya watu fulani kuiua au kuidhoofisha CUF ili kusiwe na haja ya kumtafuta mtu kama CHAJE 2020. Hii inaweza kulazimisha vyama vikuu viwili vya upinzani CDM na CUF (Maalim) kuja na umoja wa aina yake. Nimeamka nikakuta hii ni ndoto tu sijui kama ina ukweli kiasi gani.
 
NEC nayo yakubari kufutwa kwa Ubunge wa Wabunge nane wa Cuf !! yaitaka Cuf kuteua Majina nane (8) kutoka ktk orodha iliyo wasilishwa Ktk Ofisi ya Tume siku kumi na tano(15) kabla ya Uchaguzi wa 2015.

Ni wazi suala la Ubunge wa waliokua Wabunge hao nane (8) umekoma rasmi
Punde Cuf kutangaza majina nane (8) yanayo ziba nafasi zao.

Ramadhan Kailima, Mkurugenzi wa NEC amethibisha.

Ndani ya siku tatu kazi aliyotumwa imetimia wakati kesi yake inaenda mwaka kwa maagizo toka juu imekaliwa
Mkuu siyo kazi ya NEC kubariki kufukuzwa kwa mwanachama yeyote ktk chama chochote. Wala hakuna chama kinachohitaji baraka za mtu yeyote kinapomfukuza mwanachama wake kwa kikao halali kinachotambulika na katiba ya chama husika.

Mwanachama ambaye ni mbunge akifukuzwa spika wa bunge anaandikiwa na chama husika barua ya kumjulisha kufukuzwa kwa mwanachama huyo. Naye spika akishapitia barua hiyo na kujiridhisha kwamba ni kweli mwanachama huyo amefukuzwa, naye anachukua jukumu la kuitaarifu Tume ya Uchaguzi(NEC).

NEC ikishapokea taarifa ya spika nayo inatangaza nafasi zile za hao wabunge kuwa ziko wazi. Kama ni wa kuteuliwa kuna huo utaratibu ambao umeuelezea hapo juu, sina haja ya kurudia. Kama ni wa kuchaguliwa NEC watatangaza tarehe siku na muda wa kufanya uchaguzi kwa ajili ya kujaza nafasi hiyo iliyoachwa wazi.
 
NEC nayo yakubari kufutwa kwa Ubunge wa Wabunge nane wa Cuf !! yaitaka Cuf kuteua Majina nane (8) kutoka ktk orodha iliyo wasilishwa Ktk Ofisi ya Tume siku kumi na tano(15) kabla ya Uchaguzi wa 2015.

Ni wazi suala la Ubunge wa waliokua Wabunge hao nane (8) umekoma rasmi
Punde Cuf kutangaza majina nane (8) yanayo ziba nafasi zao.

Ramadhan Kailima, Mkurugenzi wa NEC amethibisha.

Ndani ya siku tatu kazi aliyotumwa imetimia wakati kesi yake inaenda mwaka kwa maagizo toka juu imekaliwa
Mkuu jana kuna post ilitumwa humu kwamba Seif atafute njia mbadala ya kumuondoa msaliti Lipumba kwa sababu wale watu anaotegemea kumsaidia kutetea haki ni wateule wa mwenyekiti was ccm; "Majagi", Mwenyekiti was NEC, Polisi, Mlezi wa vyama, na wengineo. Ndiyo haya tunayaona.
Utaona hata Spika ni mfuasi wa mkuu. Njia mbadala itafutwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakumbukwa baada ya uchaguzi mkuu huko Zanzibar, CUF ilikuwa na viti vya ubunge vya kutosha lakini baada ya uchaguzi huo kufutwa na ukaitishwa mpya

Maalim na genge lake la Chadema waligomea uchaguzi huo hivyo wabunge waliokuwa wameshinda katika uchaguzi wa awali wakakosa ajira ya ubunge huko zanzibar

Hali imeendelea maalim kawasomesha namba wabunge wengine nane wasio na hatia na hawahusiani na mgogoro wake na Lipumba, ila anawachonganisha na sasa wamekwenda na maji!

Maalim ni mtu wa kuogopwa! Anajali sana maslahi yake kuliko ya watu wengine, ikumbukwe anafanya hivi lakini yeye anakula pesa ya serkali kama makam mstaafu wa rais kwa mujibu wa katiba
 
Unajua kwamba maalim alimkosesha james mapalala chama Chake ca CUF?
 
Back
Top Bottom