NEC yabariki kufukuzwa wabunge 8 wa CUF na kutaka majina mapya kwa ajili ya uteuzi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
NEC nayo yakubari kufutwa kwa Ubunge wa Wabunge nane wa Cuf !! yaitaka Cuf kuteua Majina nane (8) kutoka ktk orodha iliyo wasilishwa Ktk Ofisi ya Tume siku kumi na tano(15) kabla ya Uchaguzi wa 2015.

Ni wazi suala la Ubunge wa waliokua Wabunge hao nane (8) umekoma rasmi
Punde Cuf kutangaza majina nane (8) yanayo ziba nafasi zao.

Ramadhan Kailima, Mkurugenzi wa NEC amethibisha.

Ndani ya siku tatu kazi aliyotumwa imetimia wakati kesi yake inaenda mwaka kwa maagizo toka juu imekaliwa
 
Hii kitu inakwenda faster, na Lipumba anapeleka majina mapya leo leo. Sijajua mpaka sasa why Lipumba anakubalika kama mwenyekiti, au kipindi kile alipoondoka kwenye katiba ya CUF huko kwenye ma documents aliendelea kuwa mwenyekiti ? Na wao walitakiwa wamreplace onspot.
 
lipumba alipeleka barua maalim akaitia kinindoni na kuogopa kuipeleka kwenye mkutano mkuu.
 
Hii kitu inakwenda faster, na Lipumba anapeleka majina mapya leo leo. Sijajua mpaka sasa why Lipumba anakubalika kama mwenyekiti, au kipindi kile alipoondoka kwenye katiba ya CUF huko kwenye ma documents aliendelea kuwa mwenyekiti ? Na wao walitakiwa wamreplace onspot.
Ha ha ha kina Maalim walifanya uzembe.
Kwa kufuatana na katiba ya Cuf walitakiwa kukaa kikao na kukubali Prof kujiuzuru ndani ya miezi 6.
Ikipita miezi sit bila kuthibitisha unarudi kwenye nafasi yako.
Sasa Lipumba alivorudi wakaanza kung'aka we msaliti ulikimbia mwenyewe...
Ukiuliza swali katiba inasemaje hakuna atakayekujibu.....je mlichagua mwenyekiti mpya....hakuna jibu..
Lipumba kawapiga technical knock out ya hatari.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom