Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Mungu kasha sikia ndiyo maana Lissu yupo
Atatangazia wapi wakati wamefunga mitandaoKigogo atatangaza pia sisi hatuna hata hofu na kupata matokeo.
Safi. Yatakuja huku yakionesha Amsterdam kapigwa vibaya mno!
Basi itakuwa msibaBabu yenu hatoboi mwaka huu mwambie hatutanii
Vijana mnapiga porojo mitandaoni lakini hamuendi kupiga kura.Wanatafuta namna ya kuiba.
ahahahaa kitaeleweka tuWanatafuta namna ya kuiba.
Kwahiyo Lisu na Amsterdam watatangazwa na kigogo? Safiiii.
Bila shaka atamtangza rasmi Lisu kushinda urais wa twiter
mtumishi hebu tulia... sisi tusio na vyama tunawashangaa sana... unashangilia ilhali karatasi bado zipo ndani ya boksiIyena iyena tayari huku
Kwani huu unaotumia ni redio mbao?Atatangazia wapi wakati wamefunga mitandao
Hatoboi sababu ya kura yako moja? Umeweka kijiko cha chumvi ziwani na huyo unayemsema atashinda kwa zaidi ya 85%Babu yenu hatoboi mwaka huu mwambie hatutanii
Huko kwenu labda hakuna vijana, huku kwetu vijana hawataki masikhara, mbuyu asubuhi tu unaanguka, arudi kwenye pori la burigi kufanya utalii wakeVijana mnapiga porojo mitandaoni lakini hamuendi kupiga kura.
Nimetoka kupiga kura na vijana wanaopiga kura kwa mara ya kwanza, ambao ndio washabiki wa mageuzi, hawaonekani kabisa.
Atatangazia wapi wakati wamefunga mitandao