rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,967
- 3,189
Usipokuwa makin utakuja kupigwa vibao na wajukuu.Chadema utapeli wenu mwisho October
Usipokuwa makin utakuja kupigwa vibao na wajukuu.Chadema utapeli wenu mwisho October
Modern slave ungekuwa mtoto wa ata Khasim majaliwa nisingekuwa na kinyongo ila kwavile unalilia buku 7 wewe ni kunguru tu.Chadema ndio wameiba Kumbuka madini
Una akili wewe?!Chadema utapeli wenu mwisho October
Mkuu tambua humu kuna watu wamewekwa kwa kazi maalumu ya kuvuruga mijadala yenye maslahi mapana kwa taifa na huwa wanacomment mwanzo kabisa ili ku shift attention ya wachangiajiNimemshangaa sana!! Mimi kuuliza swali lingine yeye kajibu vingine....
Hizo nafasi zote zilikua za watumishi mkuu,polee
Mkuu tambua humu kuna watu wamewekwa kwa kazi maalumu ya kuvuruga mijadala yenye maslahi mapana kwa taifa na huwa wanacomment mwanzo kabisa ili ku shift attention ya wachangiaji
Ukishawajua dawa yao ni ku ignore tu
Mkuu unaboa sasa.Chadema utapeli wenu mwisho October
Morogoro naona kimya kimetanda
Dah nchi hii Bado tunasafari ndefu Sana kupambana na ujingaNimeandika Chadema Hapo. Mkuu