NEC, kwanini hadi sasa jimbo la Arusha Mjini hakuna aliyeitwa kwenye usaili wa kusimamia Uchaguzi Mkuu?

kisiki kizito

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
629
1,000
Habarini Wakuu.

Husika na kichwa cha Habari.

Tunakumbuka mnamo mwanzoni mwa Mwezi huu. NEC walitoa nafasi ya watu wenye sifa ya kusimamia vituo vya kupigia kura kwenye uchaguzi huu.

Ila hadi sasa Jimbo la Arusha mjini watu hawajaitwa na siku zimebaki chache. Je, ndo utaratibu au kuna swala lingine?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom