Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,380
Ni kweli mzee hali sasa ni Tete. Lakini bado fursahazikosekani. Tatizo vijana tunapenda nyazfa. Hatutaki kufanya kazi. Elimu zetu badala ya kutusaidia zinatudidimiza.
Ulichoongea kina mashiko sana mkuu
nakubaliana na wewe. Mimi nami nilikuwa
Muhanga wa hili nilitembeza bahasha ya kaki dsm pasipo mafanikio nikiamua kukifungia chet changu kabatini mpk Leo nikaangalia mambo mengine.
Ila hali kwa sasa ni ngumu sana
Kuna jamaa angu nilikutana last 3 weeks
kinondoni municipal anafukuzia dili
A kaniambia Sanchez rafiki angu huwezi amini huu mwezi 5 mzima sijashika elfu 10
Kwa pamoja; unaweza ona situation ilivyokuwa kitaa.