naomba kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 253
- 213
Habarini wakuu
Juzi ijumaa ya tarehe 30 Mei Tume ya uchaguzi NEC walitangaza nafasi za kazi ZA muda mfupi
Na kipaumbele walikuweka kwa watu walio kwisha fanya kazi iyo (hapa sifa nilikuwa nayo)
Wakasonga mbele zaidi kwa kusema kama umesoma degree ya computer utapewa nafasi zaidi (hapa pia nilikuwa nina sifa)
Yaani nikuwa nina sifa zote ZA kuchukuliwa
Nimeshangaa sana leo kuona mseemaji wa tume kupitia gazeti la MWANANCHI LA LEO 06.06.2019 (MWANANCHI ONLINE) akisema kuwa
"Anaomba radhi kwa wale wote waliiiomba nafasi zile maana, wanasikitika kuwa hawataendelea tena na zoezi la kuchukua watu, badala yake wanasitisha na kufuta kabisa maombi ayo"
Nilitegemea ndio sehemu ambayo ningepatia mtaji wakutoka kwenye aya maisha magumu nilikuwa nayo
Sina ajira huu mwaka wa 3
MMENIUMIZA sana kwa tamko lenu
Ila sina namna