NEC ilichakachua matokeo 2010?

NEC ilichakachua matokeo 2010?

Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.

How is this possible, on their official website?
Utilising taxpayers money, only to make stupid mistake?????
I cannot believe this!
We Tanzanians, when are we going to be serious?????
 
tangu matokeo ya uchaguzi mkuu 2010 yatangazwe, kiukweli nimekuwa sceptical all along na zile allegations kuwa eti matokeo yaliyachakachuliwa in favour of CCM.

nimesoma article moja kwenye raia mwema la leo inayoonyesha kuwa kwenye jimbo la Tumbe kule Pemba eti CDM walishinda kwa 83%, CCM 9% na CUF 1%. nimekwenda kwenye web site ya NEC nikayakuta haya matokeo yamebandikwa hapo (The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage).

sasa nimeamini!

something needs to be done. don't know what/how though.....

Mengi yatasemwa kwa kuwa Hamad Rashid Kafukuzwa CUF. Ok sie yetu macho tunasubiri haya na mengineyo lakini ukweli unasimama pale pale Hamad Out!!

Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.
Napenda nikubaliane nawewe kama utanihakikishia kwamba NEC kwa kukosea kwao huko Ukenyenge, matokeo ya CDM wa kapewa CCM and viseversa, kwamba hiyo imetokea tu kwenye jimbo moja na si kwenye majimbo mengine. Na kama ni hivyo basi walikuwa wanakosea, tutaaminije kwamba katika kukosea huko huko, Idadi ya kura za Dr. Kapewa dr.dr.dr?!
 
Nchi ya kimafia.....
Nasubiri muda niji******* kama yule kijana wa Tunisia!
 
Habar hii imenikumbusha mbaaaali sana. Enzi hizo wakti nasoma sekondari. Nakumbuka kulikuwa na mechi za mashindano ya mpira wa kikapu baina ya Tambaza na Forodhani kwenye viwanja vya Gymkhana. Kumbuka hiyo sio tambaza ya leo. Hiyo ni Tambaza ya Head master Mzee Kalumuna. Na Forodhani ya Mama Kamsin, Azania ya Kisamo, Jangwani ya Tegisa. n.k

Nakumbuka mechi ilikuwa kali sana na ktk robo ya mwisho kuna mtu alitamka maneno kama hayo hapo juu japo alitumia lugha nyingine.

Mgongo wa Chadema kujipenyeza mpaka pemba kupitia waandishi makanjanja. Haya sie yetu macho. Lakin mnakumbuka kura za maruhani? kazi kwenu.

Jiandaeni jimbo la wawi basi tuwaone.

[/FONT]

suala si kwamba chadema alishinda au la. issue is manipulation and infrigement of the actual data!
hii site ina-confirm dhahiri kuwa kulikuwa na manipulation ya results and in the process kukafanyika hili kosa - ambalo limefungua pandora box!

hii kama ni accidental results swapping, vipi zile intended zilikuwa ngapi?
the bottom line is the results do not bear any credibility after this, not anymore!
 
huyo HAMAD OMAR KOMBO wa CDM yuko wapi? kwa sababu kama NEC imetoa matokeo hivyo yeye na wasimamizi na viongozi wa huko Zanzibar walikuwa wapi/wako wapi? mimi nafikiri watu wa kuwalaumu si NEC bali ni viongozi wa CDM walioshindwa kusimamia kura ili kiongozi wao atangazwe.
aliyechakachua ni nani? CUF? CCM? kama ni NEC hawange publish hivyo I think.

Mbunge aliyepo ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. I think there is a problem somewhere kwani hata CCM hawangekubali
 
Sasa mbona hawakumtangaza mbunge wa CHADEMA kuwa mshindi?
 
Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.

suala si kwamba chadema alishinda au la. issue is manipulation and infrigement of the actual data!
hii site ina-confirm dhahiri kuwa kulikuwa na manipulation ya results and in the process kukafanyika hili kosa - ambalo limefungua pandora box!

hii kama ni accidental results swapping, vipi zile intended zilikuwa ngapi?
the bottom line is the results do not bear any credibility after this, not anymore!
ukiangalia kwenye website ya BUNGE, Mbunge aliyepo ni wa CUF hivyo argument yako hai hold. tunategemea NEC wa swap kwa favour ya CCM inayoshika hatamu mimi naona inachanganya ndiyo maana tungeweza ku argu kutokana na kura zilizobandikwa vituoni na kwa mawakala wa Tumbe ndiyo tulinganishe na za NEC. kama kuna mawasiliano na wanachadema wa Tumbe wangetutoa katika wingu hili
otherwise bado kuna utatanishi wa hizo kura za CDM kupatikana kule Pemba
 
Inabidi tuingie kwenye mfumo wa ki-elektroniki labda utapunguza uchakachuaji, kwani kukiwa na mfumo unapiga kura na matokeo yanatoka moja kwa moja pasipo kusubiri itakuwa vigumu kuchakachua japo kwa bongo usishangae kusikia imewezekana..
 
Jiko tumewakabidhi wao wenyewe so tusitegemee kupata msosi zaidi ya watakaopika wao wenyewe labada katiba mpya tuweke jiko tegemezi au linalohusisha wapishi wa vyama tofauti
 
NEC aibuuuuuuuuuuuuuuuu,mpak wanaweka facts kwenye mtandao kuconfirm yale Chadema waliyasema kwamba wao na usalama wa taifa wamepanga matokeo
 
CCM wezi wa kila kitu
Ubaya uwizi wao hauna akili
 
Inabidi tuingie kwenye mfumo wa ki-elektroniki labda utapunguza uchakachuaji, kwani kukiwa na mfumo unapiga kura na matokeo yanatoka moja kwa moja pasipo kusubiri itakuwa vigumu kuchakachua japo kwa bongo usishangae kusikia imewezekana..

The answer will be very simple. TANESCO watakata umeme kwenye zile sehemu ambazo wanajua ni strong hold ya upinzani.
Matokeo yake unayajua.
 
huyo HAMAD OMAR KOMBO wa CDM yuko wapi? kwa sababu kama NEC imetoa matokeo hivyo yeye na wasimamizi na viongozi wa huko Zanzibar walikuwa wapi/wako wapi? mimi nafikiri watu wa kuwalaumu si NEC bali ni viongozi wa CDM walioshindwa kusimamia kura ili kiongozi wao atangazwe.
aliyechakachua ni nani? CUF? CCM? kama ni NEC hawange publish hivyo I think.

Mbunge aliyepo ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. I think there is a problem somewhere kwani hata CCM hawangekubali

Ndugu yangu wasikushughulishe na kukusumbua.

Chokochoko zote hizo na habari zote hizo ni kwa kuwa Hamad Rashid kafukuzwa CUF na hao ndio wapambe wake wanajibaraguza kwa kuleta uzushi.

ndio maana tunasema bayana kama ni kweli basi wajipange jimbo la WAWI tuwaone.

Katiba mpya ndo dawa ya hayo matatizo yote, tuhakikishe hii inapatikana kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015....
 
Kwa ukweli huu basi wale wahuni akina Ritz na FF wanaumia sana maana ukanda na udini wao chali kumbe Chadema ni kote kote hadi Pemba .Ushahidi huo hapo wa nec
 
Musiwe mnaweka thread za kutukumbusha machungu. tupeni thread za kusahaulisha machungu, kama dr. Slaa kakinukisha Mbeya. thread kama hii inaniuma sana lakini ntafanya nini wakati kila kitu kipo kwao?. Mia
 
Unaongea mambo too hypothetical, kutokana na muundo wa tume (NEC) na katiba yetu, mawakala wana ubavu wa kulinda kura za ubunge na u-diwani TU, mawakala hawana ubavu wa kulinda kura za u-Rais. NEC ni Mungu mtu inaweza kutangaza matokea ya kura za u-Rais bila hata kuyapata kutoka majimboni.

Huu ndio ukweli mchungu!

Nakubaliana na wewe ndugu yangu lakini ni bora kulinda kwanza hata hizo za madiwani na ubunge,kwani nazo zilichezewa sana licha ya kuwa na hao mawakala,nina rafiki yangu mmoja alisimamia kura za chadema wakati yeye ni ccm wa kufa mtu!!!,niliwataarifu chadema makao makuu wakasema hawawezi kubadili kitu kwani sheria inawabana kwa muda uliokuwa umebaki!!!
Na ukumbuke kuwa hili la NEC kutoruhusu matokeo ya urais kutangazwa kituoni hayapo kikatiba,kwa kubanwa na hoja na wafadhiri wanaweza kuanza kutangaza toka vituoni,pia endapo katiba mpya itakuwa tayari kabla ya uchaguzi (kitu ambacho naona si rahisi) suala la muundo wa tume uwe wazi katika kutangaza matokeo yake,mfano yanapotangazwa matokeo ya udiwani,matokeo ya urais na ubunge yabandikwe kwenye vituo kata mpaka jimbo.
Ni bora kujiandaa sasa kuliko baadaye ambapo suala hili linaweza kuleta matatizo ya kuibiwa kura tena,hawa jamaa ni hatari kwa wizi wa kura na mali ya nchi,hawana haya hata kidogo.
 
kwa mtazamo wa kawaida Chadema hawewezi kupata 83% pemba na Cuf 1% labda CDm nao wawe wamejiingiza kwenye huu mtindo wa kuchakachua.
 
How is this possible, on their official website?
Utilising taxpayers money, only to make stupid mistake?????
I cannot believe this!
We Tanzanians, when are we going to be serious?????

Napenda nikubaliane nawewe kama utanihakikishia kwamba NEC kwa kukosea kwao huko Ukenyenge, matokeo ya CDM wa kapewa CCM and viseversa, kwamba hiyo imetokea tu kwenye jimbo moja na si kwenye majimbo mengine. Na kama ni hivyo basi walikuwa wanakosea, tutaaminije kwamba katika kukosea huko huko, Idadi ya kura za Dr. Kapewa dr.dr.dr?!

ukiangalia kwenye website ya BUNGE, Mbunge aliyepo ni wa CUF hivyo argument yako hai hold. tunategemea NEC wa swap kwa favour ya CCM inayoshika hatamu mimi naona inachanganya ndiyo maana tungeweza ku argu kutokana na kura zilizobandikwa vituoni na kwa mawakala wa Tumbe ndiyo tulinganishe na za NEC. kama kuna mawasiliano na wanachadema wa Tumbe wangetutoa katika wingu hili
otherwise bado kuna utatanishi wa hizo kura za CDM kupatikana kule Pemba

kwa mtazamo wa kawaida Chadema hawewezi kupata 83% pemba na Cuf 1% labda CDm nao wawe wamejiingiza kwenye huu mtindo wa kuchakachua.

Mkuu Muhoka umejibu hoja. Pemba huwezi kutegemea CDM wapate kura zote hizo kuchinda hata CUF ambao ndo wenye ngome. Mambo ya kuchakachua yako wazi hata ambaye hakupiga kura anajua tokea 2005, ndiyo maana hata turn out inakuwa ndogo. 2015 Patachimbika, vijana wengi wameshaona hawa wazee wanatuchelewa kufanya mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom