NEC ilichakachua matokeo 2010?

NEC ilichakachua matokeo 2010?

Nchi ya kimafia.....
Nasubiri muda niji******* kama yule kijana wa Tunisia!

Nchi inaongozwa na wastaafu unategemea nini mkuu?

huyo HAMAD OMAR KOMBO wa CDM yuko wapi? kwa sababu kama NEC imetoa matokeo hivyo yeye na wasimamizi na viongozi wa huko Zanzibar walikuwa wapi/wako wapi? mimi nafikiri watu wa kuwalaumu si NEC bali ni viongozi wa CDM walioshindwa kusimamia kura ili kiongozi wao atangazwe.
aliyechakachua ni nani? CUF? CCM? kama ni NEC hawange publish hivyo I think.

Mbunge aliyepo ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. I think there is a problem somewhere kwani hata CCM hawangekubali

Hivi kuna mtu bado anaiamini hiyo NEC-Zanzibar au NEC - Tanzania? Ni kiini macho hicho chombo hakina maana yeyote katika uwanja wa democrasia, ila kwa CCM kina maana kubwa.

Sasa mbona hawakumtangaza mbunge wa CHADEMA kuwa mshindi?

Wamtangaze, mbona ungesikia pamechimbika mpaka bara. Tukubali kuwa bado tunasua sua kuingia kwenye democrasia ya kweli. Inshu iko wazi kuwa NEC has to be independent, lakini watawala wetu bado wanang'ang'a katiba inasema ooooh, mwenyekiti atateuliwa na mwenyekiti wa ccm taifa ambaye ndiyo amiri jeshi mkuu na rais wa Tanzania. Hapo hapo, vyama vya upinzani havionyeshi dalili ya kushtuka na huu mchezo mchafu. NEC ni ushuzi mtupu!

Inabidi tuingie kwenye mfumo wa ki-elektroniki labda utapunguza uchakachuaji, kwani kukiwa na mfumo unapiga kura na matokeo yanatoka moja kwa moja pasipo kusubiri itakuwa vigumu kuchakachua japo kwa bongo usishangae kusikia imewezekana..

Watu wanatumia pesa siyo vipesa kutafuta ushindi. Watu wenyewe ukiwaangalia wako kwenye 56 - 70 years old, why not invest the money in building small scale and iron industries? Ukifikiria sana utagundua kuwa hawa jamaa wanaogopa kufa mapema, so they just want luxury life like bunge one, totoz pembeni hakuna shida. Wenye kutambua na kuchua hilo ni sisi vijana!!
 
Nakubaliana na wewe ndugu yangu lakini ni bora kulinda kwanza hata hizo za madiwani na ubunge,kwani nazo zilichezewa sana licha ya kuwa na hao mawakala,nina rafiki yangu mmoja alisimamia kura za chadema wakati yeye ni ccm wa kufa mtu!!!,niliwataarifu chadema makao makuu wakasema hawawezi kubadili kitu kwani sheria inawabana kwa muda uliokuwa umebaki!!!
Na ukumbuke kuwa hili la NEC kutoruhusu matokeo ya urais kutangazwa kituoni hayapo kikatiba,kwa kubanwa na hoja na wafadhiri wanaweza kuanza kutangaza toka vituoni,pia endapo katiba mpya itakuwa tayari kabla ya uchaguzi (kitu ambacho naona si rahisi) suala la muundo wa tume uwe wazi katika kutangaza matokeo yake,mfano yanapotangazwa matokeo ya udiwani,matokeo ya urais na ubunge yabandikwe kwenye vituo kata mpaka jimbo.
Ni bora kujiandaa sasa kuliko baadaye ambapo suala hili linaweza kuleta matatizo ya kuibiwa kura tena,hawa jamaa ni hatari kwa wizi wa kura na mali ya nchi,hawana haya hata kidogo.

Pakuanzia ni NEC iwe huru. Ikiwa huru, huku chini itakuwa rahisi kurekebisha. Na NEC kuwa huru bila kuingia barabarani ni kama ndoto za kuotwa umemeza na mamba then asubuhi unaamka unadunda tu huku ukishangaa ilikuwaje ukachomoka mdomoni mwa mamba! Cha msingi kila dai la msingi saizi litakuwa linasukumizwa katiba mpya, katiba mpya, katiba mpya ndiyo mambo yote!!
 
Kwa ukweli huu basi wale wahuni akina Ritz na FF wanaumia sana maana ukanda na udini wao chali kumbe Chadema ni kote kote hadi Pemba .Ushahidi huo hapo wa nec

Kwa ushahidi wako. Unaweza tueleza mbunge anayewakilisha jimbo hilo anatoka chama gani?
Ukipitia tovuti ya bunge ametajwa kuwa ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. Sasa vipi iweje wa Tatu awe mbunge? Na CCM walikuwa wapi kulalamika?

Acheni unafiki wapambe wa Hamad Rashid Nyie. Mtasema mengi mwaka huu. Lakin Hamad Rashid OUT.

walichaguliwa wanakula matapishi yao kwani nchi inapiga makidamakida tu Nyerere alisema nchi nyingine tunaziita zinazoendelele lakini ki ukweli haziendelei zinapiga mark time tu
 
Kwa ushahidi wako. Unaweza tueleza mbunge anayewakilisha jimbo hilo anatoka chama gani?
Ukipitia tovuti ya bunge ametajwa kuwa ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. Sasa vipi iweje wa Tatu awe mbunge? Na CCM walikuwa wapi kulalamika?

Acheni unafiki wapambe wa Hamad Rashid Nyie. Mtasema mengi mwaka huu. Lakin Hamad Rashid OUT.

Mkuu huamini hayo yanaweza kutokea Tanzania? Watu wanaenda Central Bank na wanaiba hela mwenzetu unashangazwa na hili? Na hata baada ya kuiba hela uchunguzi unafanyika na walioiba wanajulikana halafu wanaambiwa na rais wazirudishe na wanasamehewa kinyume na katiba ya nchi!

Bado tu huamini kuwa hilo laweza kutokea hapa! Uko wapi wewe!
 
Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.
Inachukua muda gani kurekebisha kosa kama hili? Kumbuka kuwa haya ni matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 2010, zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Ina maan kuwa yamehakikiwa na kuhakikishwa kuwa ni sahihi
 
Mkuu huamini hayo yanaweza kutokea Tanzania? Watu wanaenda Central Bank na wanaiba hela mwenzetu unashangazwa na hili? Na hata baada ya kuiba hela uchunguzi unafanyika na walioiba wanajulikana halafu wanaambiwa na rais wazirudishe na wanasamehewa kinyume na katiba ya nchi!

Bado tu huamini kuwa hilo laweza kutokea hapa! Uko wapi wewe!

Chadema walivyokuwa na uchu na kiti cha Zanzibar na
CCM walivyokuwa na uchu na kiti cha Pemba pangekalika kweli?

maneno tu ya wapambe wa Hamad Hayo. Lakin CUF wameshamfurusha na sasa anashinda habari maelezo Dar kutwa kucha.

CCM wezi wa kila kitu
Ubaya uwizi wao hauna akili

Kuna siku ktk miaka hii hii ya 2010-20, hawa viongozi wa TISS, NEC na CCM watasimama Mahakamani kujibu mashitaka ya kuhujumu na kuvuruga uchaguzi wa 2010.
 
Mimi hapa nimeishiwa pozi [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]

HAMAD OMAR KOMBO

[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
5,633
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
83.17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]RASHID ABDALLA KHAMIS
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CCM
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
645
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
9.52
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]RASHID ALI ABDALLAH
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CUF
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
97
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
1.43
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]ABDALLA YUSSUF HASSAN
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]NCCR-MAGEUZI
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
89
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
1.31
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 5%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]SPOILT VOTES
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
309
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
4.56
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]TOTALS
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
6,773
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 5%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kuna siku ktk miaka hii hii ya 2010-20, hawa viongozi wa TISS, NEC na CCM watasimama Mahakamani kujibu mashitaka ya kuhujumu na kuvuruga uchaguzi wa 2010.

Mimi nawewe tunahitaji kuwa makini tu ili tushuhudie nchi yenye upendo na amani wa kweli kwa kila binadamu aishie hapa nchini, siyo kama ilivyo sasa.
Mimi hapa nimeishiwa pozi [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]

HAMAD OMAR KOMBO

[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
5,633
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
83.17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]RASHID ABDALLA KHAMIS
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CCM
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
645
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
9.52
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]RASHID ALI ABDALLAH
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]CUF
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
97
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
1.43
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"]ABDALLA YUSSUF HASSAN
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]NCCR-MAGEUZI
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
89
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
1.31
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 5%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]SPOILT VOTES
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
309
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
4.56
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]TOTALS
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"]
6,773
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"]
100
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 5%, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ndiyo hivyo mkuu!!
Inachukua muda gani kurekebisha kosa kama hili? Kumbuka kuwa haya ni matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 2010, zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Ina maan kuwa yamehakikiwa na kuhakikishwa kuwa ni sahihi

Yaani inauzi sana mkuu! Cha msingi nikutosahau kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi, kwa hiyo italazimika watu tujitoe ili kuipata hiyo tume huru ya uchaguzi. Vinginevyo, tutaendelea kurudia rudia kuonyeshana vitu ambavyo tunavishuhudia kwa macho kila siku.
 
Hakuna aliyechakachua matokeo 2010,hizi ni hasira za kujeruhiwa tu,tuache kukwepa ukweli.tuambizane ukweli ili tujipange kwa 2015.slaa hakushinda na asingeweza kushinda.
 
tangu matokeo ya uchaguzi mkuu 2010 yatangazwe, kiukweli nimekuwa sceptical all along na zile allegations kuwa eti matokeo yaliyachakachuliwa in favour of CCM.

nimesoma article moja kwenye raia mwema la leo inayoonyesha kuwa kwenye jimbo la Tumbe kule Pemba eti CDM walishinda kwa 83%, CCM 9% na CUF 1%. nimekwenda kwenye web site ya NEC nikayakuta haya matokeo yamebandikwa hapo (The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage).

sasa nimeamini!

something needs to be done. don't know what/how though.....

Sio hilo tu, hata CHAMBANI/MKOANI/PEMBA KUSINI inaonesha ilishinda CHADEMA lakini nafikiri kule mbunge ni wa CUF....!!
 
watanzania kwa kudanganyana na kujidanganya bana,ivi inakuwaje mtu unachukua matokeo ya kituo kimoja af una conclude kwamba ulishinda wewe?yaani unachukua matokeo ulopigiwa kura na bibi zaklo pale home ndo unajiona mshindi.kazi tunayo.
 
Acheni ushamba, mbona mimi nimefungua hiyo link ya nec, na inaonyesha kwamba cuf walipata 84% na ccm ndo wakapata 9%?
 
kuna majimbo mbunge wa chadema kura 30,000 - zile za uraisi eti 8,000. kudesa kunahitaji akili sana.
 
Kwa ushahidi wako. Unaweza tueleza mbunge anayewakilisha jimbo hilo anatoka chama gani?
Ukipitia tovuti ya bunge ametajwa kuwa ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. Sasa vipi iweje wa Tatu awe mbunge? Na CCM walikuwa wapi kulalamika?

Acheni unafiki wapambe wa Hamad Rashid Nyie. Mtasema mengi mwaka huu. Lakin Hamad Rashid OUT.

unajua nimekufatilia unavochangia hii thread..unamtaja Hamad Rashid..lakini aliyeanzisha thread ameonesha weakness ya NEC kwenye matokeo ya huo uchanguzi katika hilo jimbo..una maana Hamad Rashid ndo anamiliki hiyo website ya NEC and amepindisha ukweli??SIKUELEWI KABISA unacho comment.
 
Lakini simunaona Nchi imewashinda? kisicholiziki hakiliki tusubiri wananchi wataamua. Mungu yupo ombeni sana, wataikimbia nchi wenyewe. kama kweli, wanajuta na nafsi zinawasuta. Mungu sikia kilio cha watu wako tenda sawasawa na mapenzi yako ili wakujue wewe ulikuwepo, upo na utakuwepo hakuna gumu mbele zako!
 
sawa...lakini je CDM walikuwa wana ushahidi rasmi kutoka NEC ambao wangeweza kuuonyesha kwa yeyote? labda ni mimi tu nilikuwa siko aware kwani nilichokiona ni majedwali tu ambayo they could have originated from anywhere!

this latest revelation is outrageously official and could have a legal bearing.

Kama ulifuatilia tahmini ya mwaka 2011 kutoka CHADEMA walisema kwamba ushahidi upo shida ni kwamba hakuna pa kuwasilisha kwa sab katiba yetu imetamka kwamba matokeo(mathalan ya raisi) hayahojiki kwenye mahakama yoyote
 
yeah right...walisema. is that all ambacho walikuwa na uwezo wa kufanya then?

ushahidi gani formal waliokuwa nao kama kweli ulikuwapo then?

hata kama matokeo yalikuwa hayahojiki, kwa nini wasingemwaga huo ushahidi all the same? chances were kungetokea sympathisers ambao wangeanza kuuliza maswali zaidi ambayo yangeshindwa kujibika and that would have led to yet another pandora box to be opened!

tatizo ni kuwa kushindwa kulikaribishwa kabla ya ku-dare...which is a sign of sheer cowardice and political naivety!
 
Back
Top Bottom