Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
- Thread starter
- #41
[emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kuna baadhi bado si watiifu kabisa eti anasema alituma ikapokelewa. [emoji3][emoji3]
Me pia nilituma na nikajibiwa kupitia Spam folder in my gmail account kua ninaemtumia amefikia ukomo kumbe hapo walikua wanarekebisha ili kuahirisha zoezi.