Duuh hivi walikuwa wanahitaji wenyw degree tu???Wengi tunakosea email address make sure hukosei ata . Sometimes unaweka spaces Kati ya email lazima isumbue.
Qualification form4Duuh hivi walikuwa wanahitaji wenyw degree tu???
Duuh nimefanya uzembe sana kuikosa hii hela..Thanks
Qualification form4





Kilochofanyika ni uzembe tu, watanzania wengi bado wako gizani na matumizi ya mtandao.Tuachane na hadija tusaidiane huku vipi hawa NEC servers zao mbona majanga sasa tunafanyaje
Sio mbaya usiwe mbali Sana kufatilia update mara kwa mara baada ya hiyo nafasi za kusimamia uchaguzi serikali za mitaa unafuata lazima watatangaza lakini watakaosimamia zoezi hili nahisi watapewa kipaumbele sababu watakua na uzoefu Kama watakavyofanya kwa hili waliosimamia uchaguzi 2015 kwa mfumo wa BVR wanapewa nafasi zaidiDuuh nimefanya uzembe sana kuikosa hii hela..![]()
Yaah mkuu haina shida..Sema hata hivyo hii info nilichelewa kuipataaSio mbaya usiwe mbali Sana kufatilia update mara kwa mara baada ya hiyo nafasi za kusimamia uchaguzi serikali za mitaa unafuata lazima watatangaza lakini watakaosimamia zoezi hili nahisi watapewa kipaumbele sababu watakua na uzoefu Kama watakavyofanya kwa hili waliosimamia uchaguzi 2015 kwa mfumo wa BVR wanapewa nafasi zaidi
Pamoja.Yaah mkuu haina shida..Sema hata hivyo hii info nilichelewa kuipataa
WamehairishaView attachment AJIRALEO.COM_NEC-TAARIFA.pdfHuwa wanalipa sh per day?
WamehairishaView attachment 1119272
Kudadeki cafe nimelipia 5000 kutuma
Boss usisahau kunitag wakitoa tangazo jipya la ajira...Next time ninaoo aisee