Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe

Haidhuru si kitu
Bangi ndio iliyomsaidia kuwa na busara ya kuhifadhi vyombo alivyoteka toka hakalu la Sulaiman Salalah aleeii wasalaam..tofauti na alivyofanya mwanae....
Na majani hayohayo ya kondeni(bangi)ndio iliyompa kibri na hakutaka kutubu ndani ya mwaka mmoja baada ya ile ndoto.
Na kwa nyongeza ninajiheshimu sababu ki umri mie ni baba yako au mke wa mama yako...Asante na karibu.
Kama kweli unajiheshimu weka hapa ushahidi wa haya uliyoandika?
 
Back
Top Bottom