TANZIA Julius Ishengoma Ndyanabo afariki dunia

Mwanakijiji,

Hii picha ni ya mwaka gani? maana mimi Julius Ndyanabo ninayemfahamu alikuwa mtu wa miraba minne na alikuwa na ofisi zake pale jirani na kituo cha mabasi ya Uda cha stesheni!

By the way to add twist, alikuwa wakili wetu Yanga (Young Affrican Sports Club)!

Tehe tehe teh umedata wewe mchungaji.... kumbe kanda2!
 
Nikiwa njiani kuelekea Tarime, naomba kutoa rambi rambi kwa kifo cha Wakili Ndyanabo. Namkumbuka marehemu kama mmoja wa wakazi wa jimbo la Ubungo aliyekuwa mstari wa mbele kutetea demokrasia kupitia taaluma yake ya uanasheria. Marehemu atakumbukwa pia kwa mchango wake kupitia kesi aliyofungua kupinga kiasi cha fedha kinacholazimika kuwekwa kama dhamana katika kufungua kesi cha uchaguzi. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema.

JJ

Licha ya kwamba John Mnyika ni msaliti na mnafiki...Mungu still si Athumani wala John...So therefore...MayHe "The majesty" rest the late Ndyanabo in Eternal peace.
AMEN.
 
Mwanakijiji,

Hii picha ni ya mwaka gani? maana mimi Julius Ndyanabo ninayemfahamu alikuwa mtu wa miraba minne na alikuwa na ofisi zake pale jirani na kituo cha mabasi ya Uda cha stesheni!

By the way to add twist, alikuwa wakili wetu Yanga (Young Affrican Sports Club)!

huyu siyo Julius Ndyenabo!
 
Back
Top Bottom