Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
555582_10151108416991639_1276570181_n.jpg
 
Anafanya hivyo ili ng'ombe waongezeke..Waafrika tuna shida kweli. Do you think ng'ombe wanaweza kuongezeka kwa kuoga kwenye banda lake,,
 
background na quality ya picha ni nzuri mno,,,,angegeukia Camera tu!
 
Mbona kama anafanana na kaka mkubwa flani aliyewahi kuwa member humu,!? au ni majicho yangu yananidanganya!!
 
Anafanya hivyo ili ng'ombe waongezeke..Waafrika tuna shida kweli. Do you think ng'ombe wanaweza kuongezeka kwa kuoga kwenye banda lake,,

kumbe anaoga,basi nahisi nazeeka maana sioni maji wala dalili ya mtu kuoga lol
 
hayo ****** yanafaa kweli kwa bakora.
ananikumbusha mkuuw a wilaya aliyechapa waalimu,angeyapata hayo angeyafaidi kweli.
 
mahangaiko ya mwanadamu - hao wanyama wanaonekana kushangaa - alafu wametii na kusimama still

very strange indeed!!
 
ha ha ha ha ha , eti na huyu nae anajiita freemason kwi kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom