Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
555582_10151108416991639_1276570181_n.jpg
 
Anafanya hivyo ili ng'ombe waongezeke..Waafrika tuna shida kweli. Do you think ng'ombe wanaweza kuongezeka kwa kuoga kwenye banda lake,,
 
Anafanya hivyo ili ng'ombe waongezeke..Waafrika tuna shida kweli. Do you think ng'ombe wanaweza kuongezeka kwa kuoga kwenye banda lake,,

Hivi kuna ng'ombe hapo?
 
...anafanana na yule mzee wa "kureee!!"
 
alieniweka hapa mtandaoni nitamtembelea leo usiku. Halafu ndio utakua na heshima.
 
background na quality ya picha ni nzuri mno,,,,angegeukia Camera tu!
 
Mbona kama anafanana na kaka mkubwa flani aliyewahi kuwa member humu,!? au ni majicho yangu yananidanganya!!
 
Aiseeeee babaangu mi naona anataka kupita bila kupingwa ccm nec
 
...mkuu hujaitizama vizuri eee!?

hahaha haka kamchina kangu kwa kudogosha bhanaa...sasa hivi ndio natumia PC hapa kumbe ni ming'ombe tena inaoneka kwa uzuri kabisa hahaha
 
Anafanya hivyo ili ng'ombe waongezeke..Waafrika tuna shida kweli. Do you think ng'ombe wanaweza kuongezeka kwa kuoga kwenye banda lake,,

kumbe anaoga,basi nahisi nazeeka maana sioni maji wala dalili ya mtu kuoga lol
 
hayo ****** yanafaa kweli kwa bakora.
ananikumbusha mkuuw a wilaya aliyechapa waalimu,angeyapata hayo angeyafaidi kweli.
 
mahangaiko ya mwanadamu - hao wanyama wanaonekana kushangaa - alafu wametii na kusimama still

very strange indeed!!
 
ha ha ha ha ha , eti na huyu nae anajiita freemason kwi kwi kwi kwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom