Ndulele au tura ni tiba ya asili ya nguvu za kiume

Umenikumbusha mzee mmoja maeneo ya morogoro mjini alikua akiuza dawa ya mdinda dinda!
Ila yule mzee alivyokua akiipromot aisee!!?
 
Ukitaka kuwa Bilionea ndani ya miaka miwili kama Lengai Ole Sabaya tangaza tiba ya nguvu za kiume.
Waambie kabisa kukufata pm muamala usome elfu 10 ya kumuona mganguzi, kugangwa ni 100k, huduma ya kufuatiliwa maendeleo ya mgangwaji ni 100k(vip anapatiwa na mrembo wa kutestia mitambo)
 
Chemshia na huo mti tumia kunywa asubuhi na jion siku Saba utaleta mrejesho hapa sio ufanye sifa utamtoa mwenzio chango la kurudisha kizazi, nyuma Mana hivyo vigongo nilivyo kutajia ni hatari sana.
Hii komenti yako inamaanisha nini..?
 
Chemshia na huo mti tumia kunywa asubuhi na jion siku Saba utaleta mrejesho hapa sio ufanye sifa utamtoa mwenzio chango la kurudisha kizazi, nyuma Mana hivyo vigongo nilivyo kutajia ni hatari sana.
Mkuu Mshana, huu mti ni tiba ya kweli?
 
Back
Top Bottom