SAM94
Member
- Dec 12, 2018
- 27
- 13
😂😂alafu unapandisha mashetani unamwambia pastor niongezee ili nitoke📢📢..
Unarudi zako home umelewa saafi
Hahaha hahahaha 😀 😀 😀 😀
😂😂alafu unapandisha mashetani unamwambia pastor niongezee ili nitoke📢📢..
Unarudi zako home umelewa saafi
Mambo gani sasa haya mnayaruhusu yatendeke kwenye makanisa yenu,tukiwaambia hamna akili mnatabisha,
Kwanini hamuwakemei hawa wanaofanya muonekane wakristo ni watu wa hovyo namna hii..
View attachment 1176856
Au ndio mnatembea na mithali 31:6 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea,kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini..hapa sasa ni kuongezeana uchungu mimi savanna moja hainitoshi kabisa..
View attachment 1176859
Naam pastor akiwa sambamba na mithali 23:31 usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu litiapo bilauri rnbi yake ishukapo taratibu
View attachment 1176862
Wacha masikini apewe kileo ili asahau shida zake asahau shida zake,
Huyu anaonekana alikua na kiu kweli na hii kitu
View attachment 1176867
Hizi fursa zinapatikana kanisani nasema hivyo kwasababu wakristo wengi wamegeuza nyumba za ibada kuwa fursa..
Hebu acheni hii tabia mbaya kemeeni wenzenu wanao kengeuka
😂😂😂😂😂Haushindwi
Nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume,naungama kwa ubatizo mmoja......hayo makanisa mengine ni "FUJO"Mambo gani sasa haya mnayaruhusu yatendeke kwenye makanisa yenu,tukiwaambia hamna akili mnatabisha,
Kwanini hamuwakemei hawa wanaofanya muonekane wakristo ni watu wa hovyo namna hii..
View attachment 1176856
Au ndio mnatembea na mithali 31:6 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea,kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini..hapa sasa ni kuongezeana uchungu mimi savanna moja hainitoshi kabisa..
View attachment 1176859
Naam pastor akiwa sambamba na mithali 23:31 usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu litiapo bilauri rnbi yake ishukapo taratibu
View attachment 1176862
Wacha masikini apewe kileo ili asahau shida zake asahau shida zake,
Huyu anaonekana alikua na kiu kweli na hii kitu
View attachment 1176867
Hizi fursa zinapatikana kanisani nasema hivyo kwasababu wakristo wengi wamegeuza nyumba za ibada kuwa fursa..
Hebu acheni hii tabia mbaya kemeeni wenzenu wanao kengeuka
Siyo makanisa yote,hebu tuonyeshe hata Hospitali ya Rufaa inayomilikiwa na dini yako unayoiamini kuwa ipo sahihi?au hata vyuo vikuu hata vitatu,zaidi ya kile mlichopewa,mambo ya imani siyo yakuingilia,abudu unachokipenda,acha uchochezi.
Hao watu wako kwenye sherehe wewe unawahusushaje Wakristo?Mambo gani sasa haya mnayaruhusu yatendeke kwenye makanisa yenu,tukiwaambia hamna akili mnatabisha,
Kwanini hamuwakemei hawa wanaofanya muonekane wakristo ni watu wa hovyo namna hii..
View attachment 1176856
Au ndio mnatembea na mithali 31:6 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea,kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini..hapa sasa ni kuongezeana uchungu mimi savanna moja hainitoshi kabisa..
View attachment 1176859
Naam pastor akiwa sambamba na mithali 23:31 usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu litiapo bilauri rnbi yake ishukapo taratibu
View attachment 1176862
Wacha masikini apewe kileo ili asahau shida zake asahau shida zake,
Huyu anaonekana alikua na kiu kweli na hii kitu
View attachment 1176867
Hizi fursa zinapatikana kanisani nasema hivyo kwasababu wakristo wengi wamegeuza nyumba za ibada kuwa fursa..
Hebu acheni hii tabia mbaya kemeeni wenzenu wanao kengeuka
Ah dada umeandika kwa hamaki baada ya kuona wapendwa ktk bwana wakitandika savanna madhabauni... na wewe ungetuwekea kapicha ka hao watu wa dini nyingine kama alivyofanya mtoa uzi chenye kuonyesha wakisema elimu haramu kwa dini yao..mbona upumbavu upo kwenye imani zote tu
kuna waumini wa imani nyingine hawapendi kabisa elimu, wanadai ni haramu, wakiona watu wanajiachia wakifurahia maisha wanafura kwa hasira wanavaa mabomu na kujilipua, sasa na hao sijui wanakwama wapi
Mkuu hawa ndio wale Bwana Yesu aliosema katika Mathayo 7:22-22(22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? 23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Sehemu nyingine Bwana Yesu aliwatolea mfano,Mambo gani sasa haya mnayaruhusu yatendeke kwenye makanisa yenu,tukiwaambia hamna akili mnatabisha,
Kwanini hamuwakemei hawa wanaofanya muonekane wakristo ni watu wa hovyo namna hii..
View attachment 1176856
Au ndio mnatembea na mithali 31:6 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea,kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini..hapa sasa ni kuongezeana uchungu mimi savanna moja hainitoshi kabisa..
View attachment 1176859
Naam pastor akiwa sambamba na mithali 23:31 usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu litiapo bilauri rnbi yake ishukapo taratibu
View attachment 1176862
Wacha masikini apewe kileo ili asahau shida zake asahau shida zake,
Huyu anaonekana alikua na kiu kweli na hii kitu
View attachment 1176867
Hizi fursa zinapatikana kanisani nasema hivyo kwasababu wakristo wengi wamegeuza nyumba za ibada kuwa fursa..
Hebu acheni hii tabia mbaya kemeeni wenzenu wanao kengeuka
mbona upumbavu upo kwenye imani zote tu