Unawelewa wazi kuhusu imani yake kuliko yeye anayoamini hio imani ?
Na akinywa hayo maji ya battery atakufa au atapona ? Na kama atapona kuna Imani zinaamini ushirikina na mizimu kama babu zetu..., All in all keyword kwangu ilikuwa isidhuru wengine au kuwa kero kwa wengine.., sasa kama kumpa mtu maji ya battery hakuna madhara all is good...
kwangu mimi vingi sivimezi ila kwa wanaomeza maarifa yao yanawaambia ni sawa.., tena wale ambao wanakimbilia dini kujiliwaza naona ni bora kuliko hao watu bila dini huenda wangekuwa wanaandamana kila siku na kupora watu bila uoga wa so called the end of days..., kwahio kama religion is the opium of the mass let it be so long as hio opium haifanyi watu waanze kuingilia maisha yangu na kuwa kero kwangu...Licha ya imani lakini kila tujongeapo tuwe sambamba na akili zetu,
Sio kila kitu unameza tu kwa kisingizio cha imani,tusiangamie kwa kukosa maarifa
Akijibu nitag! [emoji847]mbona upumbavu upo kwenye imani zote tu
kuna waumini wa imani nyingine hawapendi kabisa elimu, wanadai ni haramu, wakiona watu wanajiachia wakifurahia maisha wanafura kwa hasira wanavaa mabomu na kujilipua, sasa na hao sijui wanakwama wapi
mbona upumbavu upo kwenye imani zote tu
kuna waumini wa imani nyingine hawapendi kabisa elimu, wanadai ni haramu, wakiona watu wanajiachia wakifurahia maisha wanafura kwa hasira wanavaa mabomu na kujilipua, sasa na hao sijui wanakwama wapi
Umenichekesha fala ww, umesababisha henken zikate kichwani mkuu, maana nimecheka sana😂😂alafu unapandisha mashetani unamwambia pastor niongezee ili nitoke📢📢..
Unarudi zako home umelewa saafi
HaushindwiHiyo savana ningeipiga yote
Kiongozi. Inakuaje unasema 'wakristu' hlf unaishia kumuonesha 'pasta fulani mmoja?'Mambo gani sasa haya mnayaruhusu yatendeke kwenye makanisa yenu,tukiwaambia hamna akili mnatabisha,
Kwanini hamuwakemei hawa wanaofanya muonekane wakristo ni watu wa hovyo namna hii..
View attachment 1176856
Au ndio mnatembea na mithali 31:6 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea,kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini..hapa sasa ni kuongezeana uchungu mimi savanna moja hainitoshi kabisa..
View attachment 1176859
Naam pastor akiwa sambamba na mithali 23:31 usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu litiapo bilauri rnbi yake ishukapo taratibu
View attachment 1176862
Wacha masikini apewe kileo ili asahau shida zake asahau shida zake,
Huyu anaonekana alikua na kiu kweli na hii kitu
View attachment 1176867
Hizi fursa zinapatikana kanisani nasema hivyo kwasababu wakristo wengi wamegeuza nyumba za ibada kuwa fursa..
Hebu acheni hii tabia mbaya kemeeni wenzenu wanao kengeuka
Uko sahihi na salama; imani ni upofu, yaani kuwa na uhakika na subira ya usiyoyaona wala kuyasika huku ukitumainia kuwa yapo au yatakuja. Kama uyaaminiyo wewe hujayaona bado, kipi kikujusurishacho kukashifu imani ya wengine?Mimi ata uko sipo yani sifungamani na popote