sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 4,936
- 12,483
Mambo gani sasa haya mnayaruhusu yatendeke kwenye makanisa yenu,tukiwaambia hamna akili mnatabisha,
Kwanini hamuwakemei hawa wanaofanya muonekane wakristo ni watu wa hovyo namna hii..
Au ndio mnatembea na mithali 31:6 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea,kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini..hapa sasa ni kuongezeana uchungu mimi savanna moja hainitoshi kabisa..
Naam pastor akiwa sambamba na mithali 23:31 usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu litiapo bilauri rnbi yake ishukapo taratibu
Wacha masikini apewe kileo ili asahau shida zake asahau shida zake,
Huyu anaonekana alikua na kiu kweli na hii kitu
Hizi fursa zinapatikana kanisani nasema hivyo kwasababu wakristo wengi wamegeuza nyumba za ibada kuwa fursa..
Hebu acheni hii tabia mbaya kemeeni wenzenu wanao kengeuka