UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,144
- 9,554
Hawapendi kabisa elimu???? Kwahiyo hata elimu ya dini yao hawasomi?mbona upumbavu upo kwenye imani zote tu
kuna waumini wa imani nyingine hawapendi kabisa elimu, wanadai ni haramu, wakiona watu wanajiachia wakifurahia maisha wanafura kwa hasira wanavaa mabomu na kujilipua, sasa na hao sijui wanakwama wapi