Hilo linajulikana, nilidhani umekuja na kisa kilichokukuta.Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal....
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Shida ni nini mkuu?Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal....
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Ulifikiri! Masikhara eehNdugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal....
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Shida ni UKIMWI UNATEKETEZA FAMILIA NA TAIFA
Mbaya sana UKIMWI aise dah!Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini unaosababushwa na HIV
Sikuhisi watu wengi wenye HIV, hawana upungufu wa kinga mwilini. Hivyo ukimwi umepungua.
Kutokana na hayo mabadiliko HIV anashambulia kwa kushtukiza kaeneo kokote mwilini kanakoweza kusabaisha ufe tu. Ndio maana watu watakufa pamoja na kinga za mchongo.
Kumbuka Mtoto halali na hela 😊Nyani mzee kakwepa mishale mingi
Unataka sisi watu wa afya tule nini ukimwi usipokuwepoNdugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Na hapa ndo tatizo lilipo. Binafsi naona ukiupata bora uishi maisha mafupi kuliko kuyarefusha ili unywe madawa. Dozi ya amueba tu ni mateso kumaliza.Unataka sisi watu wa afya tule nini ukimwi usipokuwepo
jioni huwa in charge manyota wa siku anauliza leo WA UKIMWI wa ngapi?Na hapa ndo tatizo lilipo. Binafsi naona ukiupata bora uishi maisha mafupi kuliko kuyarefusha ili unywe madawa. Dozi ya amueba tu ni mateso kumaliza.