technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Sitakuwa Tena mtandaoni
Hizi video na picha za ndugu zangu ninazoziona uvumilivu umenishinda.
Moyo wangu unavuja damu sana.
Nitarudi hapa siku Samia atakapokuwa kafa au kaachia madaraka
Kwaherini ndugu zangu sitaingia Tena mitandaoni hasa mitandao ya kijamii
Watu wameuwawa mpaka waliokuwa wamejificha chini ya uvungu wa vitanda vyao.
Moyo wangu unauma Sana Sana sijui Kama nitapona kwa haya niliyoyaona kwa macho
Kwaherini ndugu zangu siwezi kuendelea kuishi kwenye nchi ya namna hii.