Hapa mods mbona wamekufanya uonekane mnafiki! Eti unataka kuacha kuvuta sigara ili uonekane mzuri mbele ya watu!!!
Si ndo hapo kaka....yani wameniedita heading yangu na kuandika upuuzi ambao hauleti mantiki.....yn wamemaanisha kwamba nataka niache sigara sababu ya ndugu.....akati kwenye mada nimedhihirisha wazi kwamba nahitaji kuacha sababu ya afya yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Amenikosea sana kaka.....ila fegi zinanisumbua sana nazoPole sana, mkuu!!! Hapa mods kama ana ustaarabu anahitajika kukuomba msamaha.
Fanya kitu kidogo kila ukipata hamu nunua pipi kifua kula inasadia sana kuna jamaa yangu alicha kwa style iyo afu usikae na wavutaji
Kuachana na fegi, mkuu utahitaji nidhamu ya hali ya juu sana. Anza kwa kupunguza uvutaji kidogo kidogo kila siku, na huku ukianza mazoezi na chakula yenye lishe bora! Punguza zile mawazo zinakufanya uvute! Pia kuna kitu inaiitwa 'nicotine patches' ni kama plaster hivi, unabandika mahali na pole pole inakusaidia kuacha kuvuta fegi.