Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,650
- 8,498
Daaaah mkuu umenitemea mapoint ya maana sana hapa naamini hizi njia zitanisaidia kabisaKwa siku unavuta ngapi kwa siku?.Tuanzie hapo kwanza
-Kama unavuta 10 anza kupunguza kidogokidogo,wiki hii vuta 8,wiki unayofuata vuta 6 kwa siku,hivyo hivyo mpaka utakuta umebaki na mbili kwa siku then moja.
-Usinunue pakti la sigara,nunua moja moja,na kama umeshaamua utavuta idadi kadhaa kwa siku nunua zote kwa pamoja uwe nazo.
-Unapovuta usiingize moshi mwingi ndani.
-space muda kati ya sigara moja na nyengine,mfano masaa manne manne ukivuta saa moja,usivute tena mpaka yapite masaa manne au zaidi.
Ps.ukiwa na stress usikumbilie pombe ama sigara,kula shada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app