Ndugu zangu CHADEMA, Kufumbatia Maji Kama Jiwe Ni Ujinga

Maneno uliyo yaongea ni maneno safi kama mtu asafishae DHAHABU iliyo chafuka hatimaye ikauzika na ikawa na thamani sana machoni pa watu , kujitambua kwa wenye HEKIMA NA KUJUA HAKI ni sawa na mtanzania mmoja aliekubali na kupiga kelele BILA KUOGOPA KULILIA KATIBA MPYA NA TUME HURU
 
Ndugu yangu,wewe unafikiri ni mbinu gani ya wazi itakayotumika kupambana na siasa jeshi?Yawezekana una idea kidogo.
 
Dear Comrades kwanza poleni sana kwa majukumu mazito na changamoto zilizopo mbele yetu, pia Tuendelee kumchangia Ndg yetu Tundu Lissu kwa chochote tunachobarikiwa na Mwenyezi Mungu pasi na kusahau Maombi na Dua zetu juu take.

Iko hivi, ukifuatilia kwa undani mawazo na matumaini ya wengi wetu ni kwamba HATUWEZI kushinda kiti cha urais katika uchaguzi ujao, ila wengi tunajifariji kwamba tutaongeza viti vya wawakilishi wetu pale Bungeni, na mpango-kazi ni kua tukishakua na wawakilishi wengi basi maamuzi mengi yatafanywa kutoka kwa wabunge wa upande wetu, HUU NI UPUUZI wa kiwango cha lami.

Binadamu tunatofautiana sana kwa mawazo na misimamo, Mimi binafsi siwezi kushiriki katika pambano au mtihani au kazi ambayo najua wazi kabisa kwamba SITOFAULU. Ukiangalia rekodi zilizopo utagundua kitu kimoja kwamba CCM inashinda si kwasababu inapendwa sana au inawafuasi wengi ila ni kwa MBINU CHAFU TU. Hata humu JF ukifuatilia vizuri wanaoitetea CCM Hata 50 hawafiki, wengi wanazidi kujiengua kutoka huko na asilimia kubwa waliobaki huko ni wanufaika wa mfumo.

Hatuwezi kushinda bila TUME HURU, na hatuwezi kupata Tume huru bila KATIBA MPYA ambayo Serikali iliyopo haiwezi kukubali ipatikane maana itakua ni sawa na kujichoma kisu. Tafsiri yake ni kwamba tutaendelea kubaki kuwa wapinzani labda mpaka kizazi chetu kiishe, na amini nawaambieni ndugu zangu kama 2020 kutakua na uchaguzi basibasi msishangae tubaki na majimbo matano(5) tu na tena tutayapata kwa mbinde sana.

Kila nikiwaza figisu figisu za uchaguzi uliopita ambao kwa maoni ya wengi ni uliongozwa na Mwanademokrasia Mzee wetu Jakaya sipati picha huu unaokuja utakuaje!!! Fikirieni watu kama akina Mdee, Bulaya, Lema na wengine wengine wapo bungeni kwa nguvu ya ziada siyo kwasababu TUME ilikua fair kwao achilia mbali wale waliopoteza viti vyao.

Sasa namna gani huu uongozi uliopo sasa? Ukimtazama mwenyekiti wao wa sasa na aina ya siasa anayoitaka nchini kwetu unaona kabisa kaburi letu halipo mbali. Kumbuka zile kauli zake kwamba MTU analipwa mshahara, posho, kodi, na gharama mbali mbali kutia ndani usafiri halafu anatangaza mpinzani kashinda, au nachukia wanasiasa huku akijitanabaisha kua yeye siyo mwanasiasa, unaona kabisa kua uchaguzi ujao afe beki afe kipa hakuna mpinzani kushinda.

Sasa ndiyo hapo ninapokumbuka kauli ya mhenga wa sikuzetu Mrisho Mpoto alipomwambia mjomba'ake kwamba "Kufumbatia maji kama jiwe ni ujinga". Kushiriki uchaguzi kwa mbinu zile zile huku tukijua matokeo yake ni UPUUZI wa ajabu sana. Sijui kamati kuu imejipangaje ila inahitaji AKILI na mbinu za hali ya juu sana kushinda uchaguzi ujao, kumbuka issue siyo HOJA za kuwapa wananchi, issue ni MBINU CHAFU, Hilo TU!!! Ni lazima tutengeneze mikakati madhubuti ya kupambana na hizo mbinu CHAFU ambazo na uhakika zitatumika kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutokea Tanzania na hayumkini kuliko uchaguzi wowote utakao kuja kutokea!

" mwerevu huona dhoruba na kujificha, mpumbavu huendelea kwenda tu"(edited)
Lakini usijali,nafahamu huwezi kufafanua vitu vingi kwakuogopa kujitia kitanzi.Hata hivyo wewe haujajuwa tu kwamba plan A imeshaanza kufanya kazi,nadhani umeshaanza kuona mtifuwano wa ccm wenyewe kwa wenyewe.Ukizingatia kuwa kuna plan (a)nyepesi(b)ya kati(c)pevu.Zingatia kuwa hii plan C ndiyo inashughulika na kitu kiitwacho Trouble shooting. Tambua ktk trouble shooting huwa tunashughulikia kutibu chanzo cha matatizo na simatokeo ya tatizo.Najuwa umeonge kwa hisia sana kama vile chama hakijuwi swala la tume huru na katiba mpya.
 
Hawakuanza leo kufarakana. Wenzenu wana misimamo taabu yenu ninyi mnaanza kufarakana wakati ambao mnatakiwa kuwa wamoja. Ikifika July 2020 cdm itagawanyika kama 2015. Mark my words
Wazee wa gia za angani!
Poleni, sijui mnajadili upinzani upi?
 
Dear Comrades kwanza poleni sana kwa majukumu mazito na changamoto zilizopo mbele yetu, pia Tuendelee kumchangia Ndg yetu Tundu Lissu kwa chochote tunachobarikiwa na Mwenyezi Mungu pasi na kusahau Maombi na Dua zetu juu take.

Iko hivi, ukifuatilia kwa undani mawazo na matumaini ya wengi wetu ni kwamba HATUWEZI kushinda kiti cha urais katika uchaguzi ujao, ila wengi tunajifariji kwamba tutaongeza viti vya wawakilishi wetu pale Bungeni, na mpango-kazi ni kua tukishakua na wawakilishi wengi basi maamuzi mengi yatafanywa kutoka kwa wabunge wa upande wetu, HUU NI UPUUZI wa kiwango cha lami.

Binadamu tunatofautiana sana kwa mawazo na misimamo, Mimi binafsi siwezi kushiriki katika pambano au mtihani au kazi ambayo najua wazi kabisa kwamba SITOFAULU. Ukiangalia rekodi zilizopo utagundua kitu kimoja kwamba CCM inashinda si kwasababu inapendwa sana au inawafuasi wengi ila ni kwa MBINU CHAFU TU. Hata humu JF ukifuatilia vizuri wanaoitetea CCM Hata 50 hawafiki, wengi wanazidi kujiengua kutoka huko na asilimia kubwa waliobaki huko ni wanufaika wa mfumo.

Hatuwezi kushinda bila TUME HURU, na hatuwezi kupata Tume huru bila KATIBA MPYA ambayo Serikali iliyopo haiwezi kukubali ipatikane maana itakua ni sawa na kujichoma kisu. Tafsiri yake ni kwamba tutaendelea kubaki kuwa wapinzani labda mpaka kizazi chetu kiishe, na amini nawaambieni ndugu zangu kama 2020 kutakua na uchaguzi basibasi msishangae tubaki na majimbo matano(5) tu na tena tutayapata kwa mbinde sana.

Kila nikiwaza figisu figisu za uchaguzi uliopita ambao kwa maoni ya wengi ni uliongozwa na Mwanademokrasia Mzee wetu Jakaya sipati picha huu unaokuja utakuaje!!! Fikirieni watu kama akina Mdee, Bulaya, Lema na wengine wengine wapo bungeni kwa nguvu ya ziada siyo kwasababu TUME ilikua fair kwao achilia mbali wale waliopoteza viti vyao.

Sasa namna gani huu uongozi uliopo sasa? Ukimtazama mwenyekiti wao wa sasa na aina ya siasa anayoitaka nchini kwetu unaona kabisa kaburi letu halipo mbali. Kumbuka zile kauli zake kwamba MTU analipwa mshahara, posho, kodi, na gharama mbali mbali kutia ndani usafiri halafu anatangaza mpinzani kashinda, au nachukia wanasiasa huku akijitanabaisha kua yeye siyo mwanasiasa, unaona kabisa kua uchaguzi ujao afe beki afe kipa hakuna mpinzani kushinda.

Sasa ndiyo hapo ninapokumbuka kauli ya mhenga wa sikuzetu Mrisho Mpoto alipomwambia mjomba'ake kwamba "Kufumbatia maji kama jiwe ni ujinga". Kushiriki uchaguzi kwa mbinu zile zile huku tukijua matokeo yake ni UPUUZI wa ajabu sana. Sijui kamati kuu imejipangaje ila inahitaji AKILI na mbinu za hali ya juu sana kushinda uchaguzi ujao, kumbuka issue siyo HOJA za kuwapa wananchi, issue ni MBINU CHAFU, Hilo TU!!! Ni lazima tutengeneze mikakati madhubuti ya kupambana na hizo mbinu CHAFU ambazo na uhakika zitatumika kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutokea Tanzania na hayumkini kuliko uchaguzi wowote utakao kuja kutokea!

" mwerevu huona dhoruba na kujificha, mpumbavu huendelea kwenda tu"(edited)
Hata kama utatukanwa na maamuma wasiopenda ukweli, but your views are on the level of spiritual sighting.
 
TUME HURU? KATIBA MPYA? Muulize Laila!
 
Ni lazima tutengeneze mikakati madhubuti ya kupambana na hizo mbinu CHAFU ambazo na uhakika zitatumika kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutokea Tanzania na hayumkini kuliko uchaguzi wowote utakao kuja kutokea!

"Mkurugenzi nimteue mm, nimlipe mshahara, nimpe na gari ya kutembelea halafu aje amtangaze mpinzani eti ameshinda, ihiiiiiiii""
By Sizonje.
 
Mkuu sijasema tupange humu mbinu, issue tuinvest katika mipango madhubuti, Mimi binafsi naamini 2010/2015 tulishinda kabisa ila tulizidiwa mbinu CHAFU, Mimi sio Mwanakamati sina pa kutolea mawazo yangu zaidi ya hapa ndiyo sababu nimeona tukumbushane mapema.

Unasema eti humu CDM wapo wengi Hawa watukanaji. Hawa wapinga hoja na Demokrasia ya maoni humu. Mtashindwa kwa sababu ya usanii na kutojua mnasimamia. Nini. Sasa CDM mmekuwa wababe matusi. Wachochezi. Waita Waandishi. Kwenu the end justifies the means. Mnadai Utawala Wa sheria na haki. Lakini mnamficha Dereva na kutoa hukumu kabla ya mkondo Wa sheria. Yani so utoto. Na mkiambiwa matusi. Nia yenu ni mbaya. Adui Sio CCM wala CHAMA. Adui ni tabia ya Wtz kupenda maisha mazuri bila jasho. Kutaka maendeleo ya ghafla wenzenu wametumia zaidi ya miaka 200-400. kuyapata hayo Maendeleo. Na pia haya mambo ya maeneo na aina ya Watu. Wtz wavivu. So hizi siasa ndo wanazipenda. Na kwa namna ya CDM. Tz haitatawalika. Matumaini ya Watu mnaweka kama Hivi maisha yatakuwa rahisi Hivi. Ahhhhh
 
Mkuu Hivi mnasemaga uchochezi, hebu tuwe halisi, nani hua anachocheka na lini watu walichukua hatua ya kupambana na serikali baada ya kuchocheka?

Kuhusu Ubabe kweli CDM ni wababe? Lini umesikia Bomu au risasi zimepigwa kwenye mkutano wa CCM?

Kuhusu matusi huoni majibu na threads za watu kama kina tramadol ?

Hii issue ya kumtaka Dereva inashangaza sana! Kwamfano angekufa kusingekua na uchunguzi au mngesema wenzake wamemuua baada ya kuona anaweza kutoa siri? Au mmeshindwa kweli kumfuata Nairobi hapo? Halafu uzuri Lissu mwenyewe yuko hai, kwanini msisubiri siku muwahoji kwa pamoja dereva na Lissu mwenyewe?

Kipi kinakufanya useme nchi haitotawalika CDM ikishika hatamu? Kwani viongozi wa CDM si ndo hao hao Watanzania kama wa CCM? Tena wengine walikua huko huko CCM na wengine ni ndugu wa damu kabisa?
 
Dear Comrades kwanza poleni sana kwa majukumu mazito na changamoto zilizopo mbele yetu, pia Tuendelee kumchangia Ndg yetu Tundu Lissu kwa chochote tunachobarikiwa na Mwenyezi Mungu pasi na kusahau Maombi na Dua zetu juu take.

Iko hivi, ukifuatilia kwa undani mawazo na matumaini ya wengi wetu ni kwamba HATUWEZI kushinda kiti cha urais katika uchaguzi ujao, ila wengi tunajifariji kwamba tutaongeza viti vya wawakilishi wetu pale Bungeni, na mpango-kazi ni kua tukishakua na wawakilishi wengi basi maamuzi mengi yatafanywa kutoka kwa wabunge wa upande wetu, HUU NI UPUUZI wa kiwango cha lami.

Binadamu tunatofautiana sana kwa mawazo na misimamo, Mimi binafsi siwezi kushiriki katika pambano au mtihani au kazi ambayo najua wazi kabisa kwamba SITOFAULU. Ukiangalia rekodi zilizopo utagundua kitu kimoja kwamba CCM inashinda si kwasababu inapendwa sana au inawafuasi wengi ila ni kwa MBINU CHAFU TU. Hata humu JF ukifuatilia vizuri wanaoitetea CCM Hata 50 hawafiki, wengi wanazidi kujiengua kutoka huko na asilimia kubwa waliobaki huko ni wanufaika wa mfumo.

Hatuwezi kushinda bila TUME HURU, na hatuwezi kupata Tume huru bila KATIBA MPYA ambayo Serikali iliyopo haiwezi kukubali ipatikane maana itakua ni sawa na kujichoma kisu. Tafsiri yake ni kwamba tutaendelea kubaki kuwa wapinzani labda mpaka kizazi chetu kiishe, na amini nawaambieni ndugu zangu kama 2020 kutakua na uchaguzi basibasi msishangae tubaki na majimbo matano(5) tu na tena tutayapata kwa mbinde sana.

Kila nikiwaza figisu figisu za uchaguzi uliopita ambao kwa maoni ya wengi ni uliongozwa na Mwanademokrasia Mzee wetu Jakaya sipati picha huu unaokuja utakuaje!!! Fikirieni watu kama akina Mdee, Bulaya, Lema na wengine wengine wapo bungeni kwa nguvu ya ziada siyo kwasababu TUME ilikua fair kwao achilia mbali wale waliopoteza viti vyao.

Sasa namna gani huu uongozi uliopo sasa? Ukimtazama mwenyekiti wao wa sasa na aina ya siasa anayoitaka nchini kwetu unaona kabisa kaburi letu halipo mbali. Kumbuka zile kauli zake kwamba MTU analipwa mshahara, posho, kodi, na gharama mbali mbali kutia ndani usafiri halafu anatangaza mpinzani kashinda, au nachukia wanasiasa huku akijitanabaisha kua yeye siyo mwanasiasa, unaona kabisa kua uchaguzi ujao afe beki afe kipa hakuna mpinzani kushinda.

Sasa ndiyo hapo ninapokumbuka kauli ya mhenga wa sikuzetu Mrisho Mpoto alipomwambia mjomba'ake kwamba "Kufumbatia maji kama jiwe ni ujinga". Kushiriki uchaguzi kwa mbinu zile zile huku tukijua matokeo yake ni UPUUZI wa ajabu sana. Sijui kamati kuu imejipangaje ila inahitaji AKILI na mbinu za hali ya juu sana kushinda uchaguzi ujao, kumbuka issue siyo HOJA za kuwapa wananchi, issue ni MBINU CHAFU, Hilo TU!!! Ni lazima tutengeneze mikakati madhubuti ya kupambana na hizo mbinu CHAFU ambazo na uhakika zitatumika kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutokea Tanzania na hayumkini kuliko uchaguzi wowote utakao kuja kutokea!

" mwerevu huona dhoruba na kujificha, mpumbavu huendelea kwenda tu"(edited)
Usiwe na wasiwasi Mkuu waache watumie mbinu chafu - Seif ataapishwa "hivi karibuni."
 
Mkuu sijasema tupange humu mbinu, issue tuinvest katika mipango madhubuti, Mimi binafsi naamini 2010/2015 tulishinda kabisa ila tulizidiwa mbinu CHAFU, Mimi sio Mwanakamati sina pa kutolea mawazo yangu zaidi ya hapa ndiyo sababu nimeona tukumbushane mapema.

Kosa kubwa ambalo naona tunalifanya ni kule kuamini na kuwaaminisha watu kuwa tulishinda uchaguzi wa 2015 ila tukafanyiwa mbinu chafu. Ukweli ni kwamba tulishindwa na upo ushahidi kuwa tulishindwa. Ninajua yapo maeneo wabunge wetu ( chadema) waliibiwa kura, hasa jiji la Mwanza na Lindi Municipali- ukawa. Asilimia ya wabunge na madiwani waliyoibiwa kura ni chache kuliko tunavyofikiria. Kuibiwa kura kimekuwa kichaka cha makosa tunayoyafanya hapa na pale. Ukisema tuliimbiwa kura na miaka yopte tangu mwaka 1995 hoja imekuwa hiyo miaka na vikaka, inamaana tumeshindwa kweli kudhibiti wizi huo? Kama leo tukisema hivyo na wakati wa uchaguzi( 2015) tuliwahakikishia wapiga kura wetu kuwa hatutaibiwa, tutawapa hoja ipi 2020? Nimeisha kutana na watu wengi wakidai hawatapiga kura katika maisha yao yaliyosalia kwa maana kila wanapopiga kura zinaibiwa.

Nafuatilia sana kinachoendelea huko Kenya, ukitathimini nguvu ya upinzani utaguandua kuwa wale jamaa ni makini sana na wote wanaelewa wanachohitaji na ndio maana hawarudi nyuma wanapokuwa wameamua kwenda mbele. Analosema Mhe. Raila ni sawa Mhe. Kalonzo, na ni sawa na anachokisema Mhe. Wetangula na Mhe. Msalia Mdavadi. Alingalia wale wanataaluma wao kama alivyo Mhe. James Orengo, Mhe. Otiende, Dr. Miguna Miguna kwa uchache. Orodha ya wataalam waliotaalamika katika sheria za uchaguzi, katiba na utawala bora ni ndefu kiasi kikubwa. Wamejiandaa. Hauwezi kupata ujasiri kama hauna elimu bora na utashi wa kujikomboa. Angalia kwa upande wetu, ziko wapi sauti za wanamageuzi? Sauti zimesikika kidogo lilipothibitika tishio la makusudi lililolenga kupoteza maisha ya huyu mpiganaji wetu Mhe. Tundu Lissu-( Mungu azidi kumpigania arejee). Sasa zimepotea kabisa.

Uchaguzi mmoja unapoisha pale Kenya tathimini ya kina inafanyika na kugundua makosa yalisababisha kushindwa au makosa ambayo yange sababisha kushindwa. Wanaangalia mambo waliyoyafanya vizuri na ni nani alizembea. Wanaandaa mkakati wa kusonga mbele. Kuwa mkweli na muaminifu kwa dhamira yako, CHADEMA tangu tulioshindwa vibaya katika uchaguzi uliotangulia, tumegundua sababu ipi zaidi ya huu wimbo wa kudumu wa kura zimeibiwa? Mheshimiwa Lowasa alipoulizwa kama bado ataendelea kumuunga mkono Mhe. Uhuru katika uchaguzi wa marudio alisema ataendelea kumuunga mkono kwa kuwa anakubalika(Mhe. Uhuru) kwa watu waliowengi wa Kenya. Akatoa mfano; wa kwamba ameshinda( Uhuru na Jubile) mabunge yote na hata mashinani, hivyo anakubalika. Nikajiuliza, tathimini hii niya Kenya tu au hata hapa inatuhusu? Kwa hiyo hata sisi tulishindwa kwa maana hatuna madiwani wengi, hatuna wabunge wengi na kwa hiyo tusingeweza kushinda urais!!!

Nadhani tufanye tathimini ya kina kama unavyoshauri, ili hatimaye tutoke na mkakati bora kabisa na tumuangushe mlevi.
 
Sawa mkuu kwa mtizamo wako

Lakini katiba hata ibadilishwe ni ndoto unayoyafikiria. Maana katiba iliyopo ni nzuri sana SEMA HAIFUATWI IPASAVYO ZAIDI YA TEUZI TU.

Kinachotakiwa nikuwa na katiba ktk VICHWANI MWETU 2020 NDIO INAAMUA ILA SI KWAHAWA WAKUBADILI GIA ANGANI AMA SAFARI wote hawa wameandaliwa na mfumo uliopo hataweza badili lolote zaidi ya kupiga dili ukabila ukanda na kudai waanzilishi wa chama.

Wengi wa wabunge wanatafuta umaarufu tu kwa mambo ambayo hayasaidii nchi wakubali wote kukatwa kodi kwenye vipato vyao na sio waongezwe posho.
Mkuu swala la chama cha siasa kushika dola, ni swala mtambuka chama kinatakiwa kiwe na malengo,sera,mkakati,itikadi ya chama ambayo ika mtu ataiona na kuilewa ya kuelekea kushika dola.
Kila nikiangalia chadema na vyama vya upinzani sioni hiyo dhamiraya wao kuwa dola,wanafurahi kupata ruzuku,ambayo inawavuruga kwa kugombea.
Tuambiane ukweli mtupu itikadi ya chadema ni nini?
Sera ya chadema kuhusu,elimu,afya,mambo ya nje,jumuiya ya afrika mashriki ni nini?
Sera ya chadema kuhusu michezo,ulinzi,mawasiliano na uchukuzi ni nini?
Sera ya chadema kuhusu ardhi,utawala,utalii,madini nishati ni nini?
Sera ya chadema kuhusu muungano,utamaduni,kilimo,mifugo ni nini?
Sera ya chadema kuhusu bandari,reli,mambo ya ndani,uhamiaji ni nini?
Mikakati ya chadema kuchukuwa dola ni ipi?Hii ya kusema ukiweka ccm na jiwe ww utachagua jiwe?
Malengo ya chadema ni kujenga Tanzania ya namna gani?
Uongozi wa chadema umejipangaje? Ni huu ambao kila mtu ni msemaji wa chama?
Uongozi wa chadema ni upi? Huu wa wabunge kwenda nje ya nchi na kuishitaki serikali kwa waandishi wa habari?
Uongozi wa chadema ni upi huu wa kusubiri Rais ateleze matamshi,iwe ndio sera?
Uongozi wa chadema ni upi huu,wa kusubili matamko wa viongozi wa serikali watamke,iwe ndio ajenda ?
Kushika dola kunatakiwa kujipanga na sio kubadili jia angani.
 
Umeeleweka vzr sana labda wenye ubishi Wa asili watapinga hilo.
Mtu anaposema tutaiondoa ccm aseme ni kwa njia zipi!!
 
Back
Top Bottom