tigananaJr
Member
- Sep 12, 2017
- 15
- 13
Hapa wa kuwalaumu sio hawa watoto, tujilaumu sisi wazazi!!Ifikie pahala hili jukwaa tuachie watoto, siye tukatafute letu tu..!
Aaaah sasa yupo hapa kwa muda tuCha kwanza hama hapo nyumbani, huoni aibu?
YaaaapKwamba....
Ni mtoto wa shangazi yako, upande wa mamaako..!!??
Anyway......
Kama anakutesa tu basi minaona afadhali akuungeze kabisa na tanuru la jehanam
YaaaapKwamba....
Ni mtoto wa shangazi yako, upande wa mamaako..!!??
Anyway......
Kama anakutesa tu basi minaona afadhali akuungeze kabisa na tanuru la jehanam
Naakili zangu timamu so naelwa whats is going on ndoo maana nimeamua kulifikisha hapa so thanks kwa ushaurMimi mbona naona wewe ndio tatizo......
Katika Maisha Tafsiri yako haimaanishi usahihi wowote juu ya fikra za mwingine mpaka tu pale atakapo kuhakikishia unachokiwaza
Punguza f**ng perception....
Siko hapa parmanent...but ni home pia so anytimeKwanza una miaka mingapi?
Je inakuaje mpaka leo unaishi kwa baba ako?
Thanks broo but siko home permanent nilipata likizo tu and nikawa nauguza...anakutengenezea mazingira ya kupakimbia kwenu,ukajitegemee ushakuwa mkubwa sasa...so pitanae tu