Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Ndugu wa hivi hata mguu kwake sitii, coz kuna ndugu yetu anazo kidogo, ukifika kwake kabla hujaondoka keshatangaza kuwa flani kaja kwangu nimempikia hiki na kile, na shida iliyomleta ni ile. Basi wengi tumekata mguu kufika kwake, amebaki kulalamika hatutaki kufika kwake....hatuwatafuti mara kwa mara coz kila mkiona calls zetu mnadhani tunataka kusaidiwa, kumbe masikini ya Mungu tunataka kuwajulia hali tu.
Ukiwa na ndugu wenye uwezo ni bora mkutane kwenye "shughuli" tu, wengi nyodo zimezidi, kila akitoa senti kumi anatangaza kwa marafiki na ndugu wenye uwezo kuwa kakusaidia....
I'd rather be masikini jeuri.
Wapumbavu kama hao wapo wengi sana kwenye jamii zetu.
Halafu ni hao hao ukipata adha au matatizo flan ni wa kwanza kukutangaza.
Yaani kamwe hawawezi kutangaza mema uliyomfanyia kama vile kumsaidia ila ngoja upatwe na baya.
Hawatoacha kusema asilani.
umesahau na marafiki unamkopesha pesa yaan Italia machozi simu hapokei sasa unaapa kwa mungu siwezi kusaidia mwingine, mwezi tu huyo mwingine ataliaaaa weeee mwishowe Natoa yaan kama vile nilirogwa sijawahi kumpa ndugu au rafiki pesa akanirudishia.
jitu nililikopea laki 8 kwenye chama hadi Leo na liba nalipa mm dunian kuna majaribu.
Mi ndugu zangu ni kulalamika tu eti siwapigii simu,wakati wao wenyewe wana simu na hawanipigii.
Ndugu wengi sana mimi nimewapotezea....
Nna ndugu yangu mmoja huyo sasa hivi kutwa ananiomba hela
nikimtafutia kazi anaanza kusema subiri kwanza sijui nini
ila hela kuomba haachi
ndugu mzigo
Halafu wengine wapo ambao hawana kazi.
Ukimwambia sehemu flani kuna kazi ya udereva wa ofisi ya mkurugenzi flani, mwenzio hataki eti hawezi kuwa dereva.
Hiyo kazi siyo saizi yake. Haina hadhi.
Huku kwa wakati huo huo hela hana na haachi kukupiga mizinga.
Mwanaume hachagui kazi, chambilecho Le Mutuz!
Ndugu wa hivi siwezi kabisa, miaka hii ni bora kuishi kivyako tu coz wenye uwezo wanalalamika, wasio na uwezo wanalalamika. Ya nini kumtembelea mtu ambaye atakutangaza kuwa ulienda kula ubwabwa kwake?Ndugu wa hivi hata mguu kwake sitii, coz kuna ndugu yetu anazo kidogo, ukifika kwake kabla hujaondoka keshatangaza kuwa flani kaja kwangu nimempikia hiki na kile, na shida iliyomleta ni ile. Basi wengi tumekata mguu kufika kwake, amebaki kulalamika hatutaki kufika kwake.
Kama wewe ulivyosepa kuleeeee au vipi?Leo umenigusa haswa maana duh "Ndugu lawama" yaani ukiwa nacho kila mtu anataka na akishapata huyo anasepa na ukimwambia huna habari yake utaipata mjini hapa full matangazo
Ndugu wa hivi siwezi kabisa, miaka hii ni bora kuishi kivyako tu coz wenye uwezo wanalalamika, wasio na uwezo wanalalamika. Ya nini kumtembelea mtu ambaye atakutangaza kuwa ulienda kula ubwabwa kwake?