Ndugu wa mume kiboko aisee

Ndugu wa mume kiboko aisee

Ni kweli kuna mama wakwe wengine ni balaa kwa ukorofi ....lakini hapa sioni kosa lake, ni kumsubiri mwanae arudi tu?
 
daaa yani mumeo ana mpita mama yake mzazi kama amjui nawe unacheka! aiseee huyo simama yake! fikiria huyo ni mwanao ana fanya hivyo.
 
FP my twin sio uchungu wa mwana huu wewe hujui tu huu ni ujinga tatizo wameshindwa nielewa mimi huwa nacheka tu na siongei mara mbili napita na vyangu. Jamaa kaingia kamsalimu huyo kamwacha kaingia chumbani hahahahahahahahah lol anakwepa kuwa alikuwa hasubiriwi hehehe mbavu zangu mie.mimi simwambii mtu akalale nazima tu taa.
natamani niwe na mama mkwe mwenzio mi sina mama ujue
 
ahahahahahahah Naona una jaribu kupima. hii inaitwa nani zaidi na jamaa ataki ujue matokeo lakini kwa uliyo yaandika kama nikweli soon utapata majibu nani zaidi.
hahahahhaha naamini kwamba kila mtu ananafasi yake na hata kama yangu ni 20% ni ok hata yeye hawezi jilinganisha na baba yangu wakatika 50/50 never huyo ndio anayejua alimtoa wapi si tumekutana ukubwani lol.hiyo kujifanya ana share kwenye familia nyingine ndio tatizo.inaonyesha na wewe ndio katabia chenu ndugu wa mume nonono
 
najua sana na ninao mawifi lakini sisi sio wagonjwa wa akili namna hiyo hakuna wifi yangu anayejuta hata mmja kwanza kwenda tu kwao hapo mbezi ni mara moja kwa mwaka tena nikitoka kwenye shughuli zangu.kuna wifi mmja alikuja nkasikia aliingia chumbani kwangu hgal wakamwambia humo ni marufuku kuingia akasema naingia ni chumbani kwa kaka yangu akawa anatembea ndani kwangu na kanga moja au kitenge bila kitu kama mama mwenye nyumba hehehehe sidhani kama anatamani te a kuja hapa tena .

Rafiki yangu aliniambia, wifi zake wawili walikuwa wana soma UK, basi wamerudi wanakuta kaka ndiyo ameoa, basi asubuhi wakiamka wanaoga, wanatengeneza nywele, wanavaa vijeans vyao, wanakaa singroom na novels. Wanamngoja wifi akitengeneza chai ya mumewe wake na wao watengenezewe. Nikamuuliza unayawezaje? Akanijibu ni nyumba yangu haitanishinda.
 
Ni kweli kuna mama wakwe wengine ni balaa kwa ukorofi ....lakini hapa sioni kosa lake, ni kumsubiri mwanae arudi tu?

ndio sababu mada iko chitchat haiko serous kiviile nilitaka kujua tu nakupata maudhoefu ni kawaida na kwenu
 
Rafiki yangu aliniambia, wifi zake wawili walikuwa wana soma UK, basi wamerudi wanakuta kaka ndiyo ameoa, basi asubuhi wakiamka wanaoga, wanatengeneza nywele, wanavaa vijeans vyao, wanakaa singroom na novels. Wanamngoja wifi akitengeneza chai ya mumewe wake na wao watengenezewe. Nikamuuliza unayawezaje? Akanijibu ni nyumba yangu haitanishinda.

Ingekuwa mi ndo kaka yao ningewatoa nduki hao washenzi. . Sijaoa mke kwa ajili ya ukoo..
 
Nivea ni Chitchat ya MMU lol! Ila nimekusoma.
 
Last edited by a moderator:
daaa yani mumeo ana mpita mama yake mzazi kama amjui nawe unacheka! aiseee huyo simama yake! fikiria huyo ni mwanao ana fanya hivyo.

hahaha ruta hapa ni cc bwana dont take it that serious.ni jumapili jamaa ametoka ofcn ni saa nne unategemea afike aanze sugua ------ kwenye kochi yamebaki masaa kadhaa jmatatu hiyo usiendekeze ujinga aisee salamu usiku mwema mama mie mbavu sina hahahaha nikikumbuka alivokuwa analiwa mbu nkamwambia mama ngoja nkupulizie no bite ya mbu ili ukeshe hapa hahahhahahahahahahaha life has all reson to smile
 
Haya mambo bwana nlikuwa naskiaga tu kwa watu sasa nayashuhudia live nacheka sana alafu namkumbuka Nicas Mtei mimi nashangaa mbona mama mzaa chema halalii mimi nauchapa nkisikia mume wangu kaja naenda fungua mlango akichelewa mama hatoki sitting room sasa jana jamaa anamuuliza mama yake unafanya nini hapa mama saa4 hii hujalala anajibu''siwezi kulala mpaka urudi'' niliangua kicheko mpaka nikaanguka kuna jirani yangu mmja nae aliniambia mama yake mkwe toka alipokuja ndani ya nyumba na ndio mwisho wa kula na mumewe kwani mama anangangana kula na mtoto wake na atamsubiri hali mpaka arudi hahaha .kweli kuishi na watu tabu mara nyingine anamwita mwanae chemba kunong'oneza.mna matatizo gani ndugu wa mume?? Mnaona twafaidieee humo vyumbanieee mkome laleni nao basi

usimcheke mamamkwe wako anakufundisha namna ya kumtreat mwanaume ajisikie kupendwa,hata siku nyingine ataona aibu kuchelewa kurudi homu kwani atakua anakuhurumia akijua wife anamsubir
 
Nyinyi mnatuona tumekuwa na mnazuga kutupenda siku tukichacha mnakwenda kutafuta wanaume wengine lakini hawa mama zetu wametuweka tumboni miezi sita tumekuwa kwa tabu na dhiki tumesoma kwa shida na adha ya madaladala leo mnaanza kutuchekea mama zetu
Inaelekea hamkufunzwa fungasha vilago vyako niachie mimi na bimkubwa wangu
 
Binafsi sioni shida maana mama mkwe wangu pia huwa anamsubiri mr arudi ili tusali wote
Na pia huwa naona kama anakua ame miss mwanae so sioni sana issue akimsubiri mwanae wapige stori
 
Yaani wewe Nivea unamuwashia mama mzaa chema? Muache bwana amfaudu mwanae. Mie kwa kweli sidhani kama nitashindwa kumvumilia ama kumuepuka mama mkwe for any reason! Mwanae kamzaa mwenyewe, muache amsubirie bwana hata akitaka amlishe i wont mind. Imagine bond uliyonayo na mwanao! Babangu Mtambuzi hadi kesho nikienda home ananiongezea nyama kwenye sahani!
 
Last edited by a moderator:
Subiri mwanao wa kiume akioa utapata majibu mazuri..Na ww utamsubiri mwanao tena mpk saa saba
Aisee umesema kweli ............Tena utaona mkewe anamnyanyasa sana. Unaweza kujikuta unasema kalishwa dawa aisee.
 
Tatizo la extended family ndio hilo mi nikioa ni wife na watoto tu ki ulayaulaya

Kiulaya ulaya watanzania tunachekesha sana hatupendi embrace vya kwetu tunapenda vya watu hivi hushangai mhindi anazaliwa mtaa wa indira ghandi lkn hajui kiswahili fresh lkn kihindi full mwa mwi..wachina waanatoka huko uchina popote waendapi wana embrace culture yao lkn huyu mtanzania aona raha eti kiulaya ulaya...wht thhr...
 
Yaani wewe Nivea unamuwashia mama mzaa chema? Muache bwana amfaudu mwanae. Mie kwa kweli sidhani kama nitashindwa kumvumilia ama kumuepuka mama mkwe for any reason! Mwanae kamzaa mwenyewe, muache amsubirie bwana hata akitaka amlishe i wont mind. Imagine bond uliyonayo na mwanao! Babangu Mtambuzi hadi kesho nikienda home ananiongezea nyama kwenye sahani!
Yaani umesema kweli. Mimi bwana mama mkwe huwa nampa nafasi kubwa hata ya kuongea na mwanae tena huwa akija nakua mbali nao kabisaa. Tukikaa pamoja nikihisi nawanyima nafasi basi hua naanzisha safari ya mbali ili kuwapa nafasi. jamani sisi tulioolewa ni vema tujue kua na sisi tutakua mama wakwe siku moja hivyo tuwatendee mama wakwe kama ambavyo na sisi tungependa kutendewa. Mimi mama mkwe wangu huwa nampenda sana na hivi hatuongei lugha moja ndio kabisaaaa huwaacha peke yao wajinafasi. Mazungumzo yao hayanihusu na nimempa mama mkwe rukhsa ya kuchukua chochote atakacho mradi kiwe ndani ya uwezo wangu tena ana uhuru kwangu kuliko hata kwa binti zake.
 
Back
Top Bottom